Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naangalia timu kama Liverpool ikiwa inashambuliwa formation yao huwa haivurugiki na huwa hawapaki bus kujilinda.

Liverpool kujilinda kwao pindi wanaposhambuliwa ni kwa kutoka haraka langoni kwao kupiga mipira kwenda mbele na wanapanda haraka kuizuia huko huko juu isirudi tena langoni mwao.

Sisi hapa tukiokoa mipira langoni mwetu ikienda mbele, ghafla inarudi tena nyuma kwa kasi ya 4g. Mabeki wanachoka kukaba, Mendy anaona rangi zote.

Kujilinda sio lazima kupaki bus, na kuvuruga formation nzima ya uchezaji, Kuna mbinu nyingi za kujilinda na bado tukawa hatari kwenye kushambualia.
Approach ya makocha zinatofautiana, Klopp is Klopp and TT is TT, washabiki wanachotaka kwanza ni matokeo pili burudani, burudani ikishindikana potelea pote matokeo kama ya jana, tumelala tukiwa na amani, tofauti tungecheza vizuri kama Liverpool halafu tungaambulia sare ya 3-3
 
Kuna comments nashindwa kuzielewa hapa, mtu anasema bora mechi ya jana wangekuwepo Rudger na Silva

Sasa wangekuwepo wangesaidia nini?

Mimi sioni point hapo kwa sababu hatujafungwa ina maana jana defensive (beki + kipa) wamefanya kazi nzuri ndio maana hatujafungwa.

Point ni kwamba kwanini defensive yetu ililemewa?

Jibu ni kwamba kiungo yetu kwa kushirikiana na kule mbele hawakufanya kazi yao, hawakupress kwa nguvu, kupora mipira na kushambulia kwa nguvu ili kuwadhibiti Brentford wasitushambulie sana.

Ukweli ni kwamba tulizidiwa kwa sababu safu mbili za mbele hazikufanya kazi yake inavyotakiwa.

Beki wanaokoa na kupiga mpira mbele, ghafla umerudi tena langoni mwetu kushambuliwa kuko pale pale.

Kuna Msemo mchambuzi wa mpira Ambangile huwa anasema wachezaji wasimame wahesabiwe.

Jana wachezaji wetu wa safu ya kiungo na ushambuliaji kule mbele wangesimama wahesabiwe kwanini jana walicheza kwa kiwango/ubora duni.
Jana Azpi hakucheza vizuri, viungo karibu wote, aliyejitahidi kidogo ni Cheek, Mbele walikuwa bado likizo ya International Break
Wangetumia vyema nafasi kipoindi cha kwanza tungeua game angalau kwa goli 3-0. Sarr na Chalobah jana walijitahidi. Andreas kapambana kweli ila hakuwa kwenye form yake. Jana ilikuwa bahati yetu. Na pia Taylor ni kama jana alitaka kufuta dhambi zake baada ya kuona mashabiki wa Chelsea walianzisha pettition ya kumpiga ban na TT naye kutishia kujiunga na petition baada ya mechi ya jana
 
Ila tunamsifia sana TT kwa vile anafanya vizuri sasa ivi akija akianza kuboronga sifa zote zisije zikapotea
Kocha akifanya vizuri anasifiwa, akifanya vibaya anasimamishwa. Kama tu FL legend wetu kasimamishwa nani wa kubaki. TT mwenyewe anajua
Ole Gunar na Arteta wangekuwa Chelsea wangeshatimuliwa siku nyingi sana
 
Naangalia timu kama Liverpool ikiwa inashambuliwa formation yao huwa haivurugiki na huwa hawapaki bus kujilinda.

Liverpool kujilinda kwao pindi wanaposhambuliwa ni kwa kutoka haraka langoni kwao kupiga mipira kwenda mbele na wanapanda haraka kuizuia huko huko juu isirudi tena langoni mwao.

Sisi hapa tukiokoa mipira langoni mwetu ikienda mbele, ghafla inarudi tena nyuma kwa kasi ya 4g. Mabeki wanachoka kukaba, Mendy anaona rangi zote.

Kujilinda sio lazima kupaki bus, na kuvuruga formation nzima ya uchezaji, Kuna mbinu nyingi za kujilinda na bado tukawa hatari kwenye kushambualia.
Kwa jana honestly Tuchel got it wrong especially kwenye team selection, most of players were too conservative, not flexible Cant keep up the ball, ndio maana nakubali labda Ruediger na Silva wangeweza kubadili mchezo, sasa Chelsea kuamua kuSit deep ilimake it easy for Brentford when sustaining pressure, Liverpool klopp's 433 system is well implemented , wachezaji wanatake risk decision sababu wanajua someone else is covering so inaleta urahisi kufanya uchafu wote wanaojisikia.
 
So wewe sasa ni Liverpool, Arsenal umeshaihama eeh!
 
Hii ndio POINT mkuu
japo uwepo wa Rudiger na Silva defending approach ingekuwa tofauti
Akina Sar na Chalobah hata Andreas sio wazuri kwenye Aerial Duels tofauti na Rudiger na Silva ambao ni wazuri hewani. Zile cross, na mipira ya kurusha ingekuwa easily cleared na akina Silva. Wakina Sarr walikuwa wanaacha mipira idunde chini ndipo wapambane kuucheza kitu ambacho ilishindikana kwani vijana wa Frank walikuwa wepesi na kila sehemu kwenye penalti box yetu walikuwepo
 
Kinachoangaliwa ni final score tu..hizo nyingine mbwembwe tuu
Final score haiwezi kufanya tusiangalie madhaifu ya timu yetu.
Bado Kuna mechi nyingi Hadi mwisho wa msimu, Kila mechi ni maandalizi ya mechi inayofuatia.
Kipindi Cha pili tumepigwa msako wa sayari nyingine Hilo halikwepeki .
the blues forever

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Katika msimamo wa ligi za Laliga na Serie A

Juventus inashika nafasi ya 9
Barcelona inashika nafasi ya 9
KULIKONI
 
Final score haiwezi kufanya tusiangalie madhaifu ya timu yetu.
Bado Kuna mechi nyingi Hadi mwisho wa msimu, Kila mechi ni maandalizi ya mechi inayofuatia.
Kipindi Cha pili tumepigwa msako wa sayari nyingine Hilo halikwepeki .
the blues forever

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Sure otherwise matokeo mazuri kwa game mbovu ni kubahatisha, na siku zote huwezi kubahatisha mechi 38

Lazima timu icheze vizuri ili mchezo mzuri uweze kujustfy matokeo hayo leo na kesho
 
Chelsea structurally is top, individually they lack creativity then few goals you cant compare with the likes of De bruyne ,Salah, TAA

Siku Mkitangulizwa kigoli kimoja imeisha hiyo hamchomoki.
Chelsea ana chance kubwa sana ya kupata magoal akicheza na timu isiyopaki basi.
 
Naangalia timu kama Liverpool ikiwa inashambuliwa formation yao huwa haivurugiki na huwa hawapaki bus kujilinda.

Liverpool kujilinda kwao pindi wanaposhambuliwa ni kwa kutoka haraka langoni kwao kupiga mipira kwenda mbele na wanapanda haraka kuizuia huko huko juu isirudi tena langoni mwao.

Sisi hapa tukiokoa mipira langoni mwetu ikienda mbele, ghafla inarudi tena nyuma kwa kasi ya 4g. Mabeki wanachoka kukaba, Mendy anaona rangi zote.

Kujilinda sio lazima kupaki bus, na kuvuruga formation nzima ya uchezaji, Kuna mbinu nyingi za kujilinda na bado tukawa hatari kwenye kushambualia.
Tungekuwa clinical kule mbele ndio huu ushauri wako unafanya kazi... Ila as long as mbele hatupo clinical....

Huo ushauri wako lazima tutacknced goals za kutosha tu.
 
[emoji860] Daniel Farke on Billy Gilmour:

“There is no pressure [to play loanees]. We are not here to develop players for other clubs, we are here to win points for this club.

"This is also the challenge our loan players want to have – it is not like they want to play just because we have loaned them and they [parent clubs] want them to play many games. They need to face a challenge and step up to it."

[via The Independent]

Sent using motorola 78
 
uyu aturudishie billy we2 january na ilo litim lake lazima lishuke daraja anatuaribia mchezaj2 ana jipya

Sent using motorola 78
 
Manure complaining too much
Haikupita hata mwezi baadhi ya mashabiki wa Manure walikuwa wakitucheka kwa kutimua makocha. Wengine wakaenda mbali kwa kuweka humu Jamii forums list ya makocha tuliowatimua wakifananisha na vitimu kama Arsenal, Manure nk
Kuna link moja niliwajibu lakini matunda ya kutumua mnayaona,
  1. Claudio Ranieri 2000-04 tulimtimua tukamuajiri Jose Mourinho akatupa makombe kibao
  2. Jose Mourinho 2004-07 - Makombe matatu ya EPL, FA na makombe matatu ya Karabao
  3. Luiz Felipe Scolari 2008 - Feb 09, waste of time and money
  4. Guus Hiddink Feb 2009-May 09 - katupa FA
  5. Carlo Ancelotti 2009-11 Kombe la EPL na FA kwa pamoja, kuifanya Chelsea timu ya kwanza kwa kushinda EPL kwa magoli Zaidi ya 100 rekodi ambayo ilikuja kuvunjwa na Man city 2017/18 kwa kufunga magoli 106 dhidi ya 103 ya Chelsea ya Ancelotti
  6. Andre Villas-Boas 2011 - March 12 katimuliwa baada ya mchezo mbovu dhidi ya Napoli kwenye UCL uliochangiwa na kwuaacha benchi akina Frank Lampard, Michael Essien na Ashley Cole bila sababu za msingi.
  7. Roberto Di Matteo March 2012-Nov 12 Katuletea UCL lakini akalewa na matokeo na December akatimuliwa
  8. Rafa Benitez Nov 12-13, Banitez aliwahi kusema maneno mabovu dhidi ya Chelsea na uteuzi wake ulikuwa wa baridi sana kwa sababu mashabiki wengi wa Chelsea hawakumuamini kabisa, hata hivyo katupa Europa na akaondoka kama alivyokuja, sababu kubwa ni kukosa kukubalika miongoni mwa washabiki wa Chelsea
  9. Jose Mourinho 2013-Dec 2015 – karudi akatupa EPL tena
  10. Guus Hiddink Dec 2015-16 – Hakuna jipya Zaidi ya kuipandisha timu nafasi ya 10 kutoka 16 aliyoacha MOU
  11. Antonio Conte 2016-18 – Katupa kombe la EPL na FA mwaka wa pili. Kawa kocha wa kwanza Katika historia ya EPL kuwa kocha bora wa mwezi kwa miezi mitatu mfululizo
  12. Maurizio Sarri 2018-19 katupa Europa ya pili na kuibakiza timu top 4
  13. Frank Lampard 2019-2021 – Kaibakiza timu top 4, Kaibua vipaji vya academy kama akina Mason Mount, Tammy Abraham, Reece James na Fikayo Tomori
  14. Thomas Tuchel 2021 – Kashatupa UCL na kuibakiza timu top 4, msimu huu timu ianongoza ligi hadi sasa

0_Ole-2.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom