Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,217
- 27,049
Tuondolee uchafu wakoNa ndo maana Nikasema Zidane aheshimiwe.Ni Sawa na kusema Kante asingekuwa Chelsea ,TT asingebeba.Non sense.
Oya tusimpe umaarufu huyo mpuuziKwa maana hiyo Guardiola sio kocha Bora Bali anaendeshwa na upepo?
Oya tusimpe umaarufu huyo mchimbachumviTT ndie kocha pekee aliyefika fainali mfululizo akiwa na timu mbili tofauti, akibisha unitag
Mtalala na viatu pumbavu kabisa
poleMtalala na viatu pumbavu kabisa
Huyu kwasasa ndio kipa bora pale EPL asee ushabiki pembeni.Mendy ni nyani wa kudaka aisee
Ushindi wa leo brought to you by Edouard Mendy
Bahati ilikuwa upande wetu Leo.Sisi wala hatujali,,tunachojali ni point 3 tu
Tumelala na point 3 , bado tunaongoza ligi na clean sheetMtalala na viatu pumbavu kabisa