New castle ni moja ya timu zenye mashabiki wengi nchini uingereza na ndiyo maana muarabu kaiona itamfaa, labda tu watachelewa kusumbua kutokana na FFP japo within 2 seasons tutaanza kuona motoLeo ndio wamechukua hawataweza kufanya vitu vikubwa timu ushawishi haina
Hizi ndio timu kubwa kama timu haipo hapo kwenye hii ivy league ni ma underdogONYO kama timu yako haipo kwenye hii wall tafadhar usije kwenye huu uzi, unajidhalilisha kuja kupiga kelele kwa wakubwa zako View attachment 1965094
Chelsea mna nini mpaka msitoke top 4 ,mna nini cha ziada nyie cheliwowo,nyie ni kina nani hasa ,mna kitu gani kipya kwenye kikosi chenu ,mna nini nyie bata mpaka top 4 msitolewe na Newcastle dadekiii zako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama new castle uwekezaji wake utaleta matunda
Pretenders wa ligi wote watapotea
Asernal
Totenham
Leicester city
Moja lazima ashushwe down kabisa
City hela zinawabeba la sivyo hawastahili kuwepo hapo
Chelsea ni klabu kubwa kijana fuatilia ujueChelsea mna nini mpaka msitoke top 4 ,mna nini cha ziada nyie cheliwowo,nyie ni kina nani hasa ,mna kitu gani kipya kwenye kikosi chenu ,mna nini nyie bata mpaka top 4 msitolewe na Newcastle dadekiii zako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Newcastle kununuliwa n tajiri sio lazima wafanye vizuriChelsea ni klabu kubwa kijana fuatilia ujue
Tumewekeza pale long time na tunalipwa kwa uwekezaji wetu
Shit mntafiikia hizi levo Hadi mwaka 2030 huko
Hao nyukasto watakuwa pretenders kwa muda until waoneshe consistency
Katu Chelsea na man shit hawaweze kuwa mzani mmoja
Nyie ni underdogs
Mpaka mshinde uefa ndio tutaelewana[emoji1787][emoji1787][emoji3577]
Mfano QPR owner wake ni tajiri haswaNewcastle kununuliwa n tajiri sio lazima wafanye vizuri
Itategemea sana na mfumo wataoadapt pia na vision ya owners
Chelsea kilichowasaidia ni structure yake ya uongozi na viongozi wenye maono na kufuatilia maono na kuyaishi
Ziko timu zenye kum8ilikiwa na matajiri lakini zimeshindwa kutoboa
Cheliwowo [emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] ndo maana nikahamia LiverpoolChelsea mna nini mpaka msitoke top 4 ,mna nini cha ziada nyie cheliwowo,nyie ni kina nani hasa ,mna kitu gani kipya kwenye kikosi chenu ,mna nini nyie bata mpaka top 4 msitolewe na Newcastle dadekiii zako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mfano asenaneNewcastle kununuliwa n tajiri sio lazima wafanye vizuri
Itategemea sana na mfumo wataoadapt pia na vision ya owners
Chelsea kilichowasaidia ni structure yake ya uongozi na viongozi wenye maono na kufuatilia maono na kuyaishi
Ziko timu zenye kum8ilikiwa na matajiri lakini zimeshindwa kutoboa
LooserfoolsCheliwowo [emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] ndo maana nikahamia Liverpool
Watoe wap wasap group hawa wavimba macho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chelsea watsaap group plz
Asiende mbali, kama Lukaku kaunga mkono hoja ina maana anajua, yeye amshauri TTHivi makocha huwa wanaombanaga ushauri?
Mfano Conte anavyosema Chelsea hatujui jinsi ya kumtumia Lukaku, na Lukaku akiwa timu ya Taifa ametoa kauli ya kuunga mkono maneno ya Conte
Sasa Inawezekana TT akamwomba ushauri CONTE jinsi ya kumtumia Lukaku?
Au kumwomba Ushauri kocha mwenzako ni kujidhalilisha bora ufe na tai shingoni?
Au TT anatakiwa akae aangalie video clips za Lukaku akiwa INTER alikuwa anachezaje kule mbele na anafunga vipi?