Hata huo muda ukifika na Lukaku asipofunga, kosa ni la mfumo mzima ambayo Kocha ndiye anayetakiwa kulisimamia. Mfumo wa sasa sio wa kumtum ia Lukaku. Timu imezoea kucheza bila striker, sasa kaja wanataka striker akatafute mipiraNi suala la mda tu, mda ndio utaweka kila kitu wazi. Muhimu uzima tu.
Wa huku Bongo au kama ni EPL kwa timu kama Westham na Norwich city am,bao hawana bajetiMkuu Lembu mpira hauko hivyo bra
Mchezaji kama Havertz wala sio kuuzwa, anaweza kukaa benchi hadi akaanza kutafuta timu mwenyeweMkuu Lembu mpira hauko hivyo bra
🤣🤣Huyo jaamaa ni nyoka
Mkuuu mie mpka nawaogopa mashabiki wenzangu du hiv wangekuwa kma arsenal je TT WAWATU AMEKUJA HATA MIEZ 9 HANA LAKIN AMETUPA MAKOMBE MA WILI NANDIO KWANZA LIG MPYAAA UCL NAYO MPYAAA SSA PRESH YA NN tumuamini mwalimu na kununua wachezaji hovyo nako s kuzuriHao ndo mashabiki wa Chelsea [emoji23][emoji23][emoji23]....wengine watasema Bora Conte arudi kisa game 2[emoji23][emoji23][emoji23]
Point sana ukisoma katikati ya mstariNdio kwanza tumepoteza mechi mbili katika mashindano mawil tofaut against top teams tushaanza kulalamika je tungekuwa kila wiki tunapoteza hiv ingekuwaje.
Tukubali kufungwa ni part ya mchezo sio kila week utakuwa unacheza katika kiwango chako kile kile sio kila tukifungwa tulalamike kuwa tunahitaj sajil nyingine,
Tushawahi kuwa n team nzuri zaidi ya sasa na bado kuna mech tulikuwa tunapoteza,
Last season tuliweza kucreate chance ila shida ikawa ni umaliziaji, ile pace ya werner ilikuwa ni advantage tunapokuwa tunashambulia ili tuweze kutengeneza chance zile zile tunamuhitaj werner kule mbele kwa pace yake
Anyway kule mbele ningependelea lukaku na werner na mount, werner kwa sababu anauwezo wa kuwavuta mabek na mbio zake na kufungua nafas kwa wengine
Mount anauwezo ambao uko underrated kuja kuchukua mipira kati na kupeleka mbele
Ukija kuangalia katika mechi mbili zilizopita ilibidi lukaku ashuke chin kufata mipira
Jorginho,Azp, Alonso wanaonekana wamechoka wanahitaj mapumziko kwa sasa
Tusishangae kuona mabadiliko jmosi
#KTBFFH
Du harvet huyhuy mkuuu ?Mchezaji kama Havertz wala sio kuuzwa, anaweza kukaa benchi hadi akaanza kutafuta timu mwenyewe
Short and safe pass hazitatufikisha popote suala hata sio kufungwa najua hakuna mfumo wa kushinda mechi zote ila kuna pattern tunaziendekeza ambazo tukishatangulia kufungwa shughuli inafika ukomo.no quickly,no penetration passes no shot outside box hakuna mchezaji anayetaka kufunga goli za kuforceNdio kwanza tumepoteza mechi mbili katika mashindano mawil tofaut against top teams tushaanza kulalamika je tungekuwa kila wiki tunapoteza hiv ingekuwaje.
Tukubali kufungwa ni part ya mchezo sio kila week utakuwa unacheza katika kiwango chako kile kile sio kila tukifungwa tulalamike kuwa tunahitaj sajil nyingine,
Tushawahi kuwa n team nzuri zaidi ya sasa na bado kuna mech tulikuwa tunapoteza,
Last season tuliweza kucreate chance ila shida ikawa ni umaliziaji, ile pace ya werner ilikuwa ni advantage tunapokuwa tunashambulia ili tuweze kutengeneza chance zile zile tunamuhitaj werner kule mbele kwa pace yake
Anyway kule mbele ningependelea lukaku na werner na mount, werner kwa sababu anauwezo wa kuwavuta mabek na mbio zake na kufungua nafas kwa wengine
Mount anauwezo ambao uko underrated kuja kuchukua mipira kati na kupeleka mbele
Ukija kuangalia katika mechi mbili zilizopita ilibidi lukaku ashuke chin kufata mipira
Jorginho,Azp, Alonso wanaonekana wamechoka wanahitaj mapumziko kwa sasa
Tusishangae kuona mabadiliko jmosi
#KTBFFH
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lile pipa mtalikataa soonSijawahi ona straika mbovu kama Lukaku, mtu mpaka alalie mabeki, akipewa mpira kutuliza utazani anatoa pasi. Lukaku tumepigwa mchana kweupeee we kubali ama kataa ila ndio hivyo.
Acha kuongea pumbaSijawahi ona straika mbovu kama Lukaku, mtu mpaka alalie mabeki, akipewa mpira kutuliza utazani anatoa pasi. Lukaku tumepigwa mchana kweupeee we kubali ama kataa ila ndio hivyo.
Boss tungenunua striker gani kwa mfano? Ivan Toney?Sijawahi ona straika mbovu kama Lukaku, mtu mpaka alalie mabeki, akipewa mpira kutuliza utazani anatoa pasi. Lukaku tumepigwa mchana kweupeee we kubali ama kataa ila ndio hivyo.
Conte hana hostoria nzuri kwenye uefa. Huyo naye hilo ni Doa.Kwahiyo tuseme Tuchel out, Conte in
Aiseee Hivi uliwaona Villareal walivokuwa wanacheza dhidi ya man u.Short and safe pass hazitatufikisha popote suala hata sio kufungwa najua hakuna mfumo wa kushinda mechi zote ila kuna pattern tunaziendekeza ambazo tukishatangulia kufungwa shughuli inafika ukomo.no quickly,no penetration passes no shot outside box hakuna mchezaji anayetaka kufunga goli za kuforce
Naungana na wewe wasiuzwe kukosekana kwa mount ndani ya kikosi linawezekana kumeshusha ubora wa baadh ya wachezaji hili unalionaje na kuna wachezaji tokea msimu uanze hawajaanza kwa ubora wao tuliowazea akiwemo kiungo mnyumbulifu na mfungaji wa goal la UCL Final hilo linathibitika kwa statistics za msimu huu kwa Kai HavertzHiv nyie watu mbona hamna uvumilivu Harvert nae auzwe Warner auzwe je mtabaki na wachezaji gani nyie hebu kuweni na uvumilivu kaaa nyie hao wakuimba mapambia kwa TT leo hafai kisa 2 game?
Mkuuu mie nipo pamoja nawe ila ushabiki tunatofaitiana sana kuna wanao elewa kufungwa na kushinda ni sehemu ya mchezo ssa kuna watu wanataka washinde kila siku haiwezekani mkuu subra nayo njema sanaNaungana na wewe wasiuzwe kukosekana kwa mount ndani ya kikosi linawezekana kumeshusha ubora wa baadh ya wachezaji hili unalionaje na kuna wachezaji tokea msimu uanze hawajaanza kwa ubora wao tuliowazea akiwemo kiungo mnyumbulifu na mfungaji wa goal la UCL Final hilo linathibitika kwa statistics za msimu huu kwa Kai Havertz
Kai Havertz in his last 4 Games
[emoji3502]4/23 Grand Duels Won
[emoji3502]1/ 12 Aerials Duels Won
[emoji3502]1/7 Dribbles Completed
[emoji3502] 0 goals
[emoji3502]0 assists
Wachezaji waboreshe viwango vyao Tuchel tactics are still on the wheel,
Conte kwa Chelsea hatufai kabisa kwa sasa rejea UCL performance all seasons alivyokua na Inter utaelewa hili yee ni kuzuia tuuu
Safi sanaWachezaji waliochoka ni watatu tuu:-
Azipi
Kante
Mount
Ziyech, Odoi, Kai, Werner:- wamechoka na nini?
Wamecheza mechi ngapi?
Ina maana wamecheza kwa muda mrefu kuliko ile front 3 ya Liverpool (Mane, Firmino, Salah), bandika Bandua mechi zote karibia misimu 5 mfulilizo?
Kai, Odoi, Ziyech, Werner na Pulisic majeruhi, tangu waingie kikosini huwa wanaingia na kutoka hawajawahi kucheza mechi mfululizo hata 10, huo uchovu unatoka wapi?
Wangekuwa kule Liverpool si wangekufa uwanjani aisee?
Tusingizie uchovu bali ni viwango vya wachezaji wetu kule mbele Ziyech, Odoi, Kai, Werner vimeshuka. Ndio maana mabao wala Asisists havipatikani.
Viwango vyao vingekuwa juu na matokeo yanapatikana huyo MOUNT aliyechoka, angepata muda wa kutosha kupumzika, badala yake kijana mdogo anaharakishwa kupona arudi uwanjani kuokoa jahazi.
Muda mwingine tunaongea kwa hasira kwa sababu tulishaandika msimu huu tunabeba EPL. Sasa wale vijana wetu kule mbele wanatupa hofu.