Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jana baada ya mechi Falcao kwenye verified account yake ya twitter alitweet Hurry up,Hurry up,hurry up am waiting for you Boss

Naona kama torres anaondoka pale
 
Mambo magumu na Point 7 you need to win in match day 6 but if JUVENTUS got a draw with shaktar you are Out...European Champions wa ajabu sana nyie msipofuzu mtaonesha Jinsi mlivyochukua UCL kwa Bahati...

Europa cup watakuwepo City,Liverpool,newcastle mkatuwakilishe vizuri
 
stupid team, stupid player and stupid owner........lucky
will not last forever
 
He nyie watu vipi..of course its so disappointing ..very I tell u but that aint no reason to hate Chelsea. Th love goes beyond losing a game or two....am a fan not a fanatic.
So if we r out or not..am still a blues fan coz guess what...Its still the best team in th fukicng Europe!
Ila....we nid a striker.
 
Haya mambo ya kuwa na possession nzuri halafu tunafungwa hayafai kabisa, ni afadhali turudie ile staili yetu ya ushindi hata kama watadai tunapaki basi lakaini tusonge mbele. Ilikuwa mechi ya kutafuta droo then mechi ya mwisho tuwapige wale vibonde, RDM anastahili lawama kwanini hakupaki basi?
 
We got what we deserve again today. No excuses, we are not up to par and both RDM and players do share this sheet!
 
Poleni wandugu.
Mwezi huu umekuwa mchungu sana kwenu.
Nausubiri kwa hamu msumari mwingine kutoka kwa Mancity hiyo Jumapili!!
 
Poleni wandugu.
Mwezi huu umekuwa mchungu sana kwenu.
Nausubiri kwa hamu msumari mwingine kutoka kwa Mancity hiyo Jumapili!!

long time no see you mkuu Rejao ulikuwa wapi ndugu..
 
Last edited by a moderator:
Haya mambo ya kuwa na possession nzuri halafu tunafungwa hayafai kabisa, ni afadhali turudie ile staili yetu ya ushindi hata kama watadai tunapaki basi lakaini tusonge mbele. Ilikuwa mechi ya kutafuta droo then mechi ya mwisho tuwapige wale vibonde, RDM anastahili lawama kwanini hakupaki basi?
Maneno mbovu mbovu toka kwa mdau.

A quote from Chelsea website:

"We are very very sorry for our fans. We couldn't be able to bring the bus to Turin because the bus driver has retired. We promise you that we will buy a new bus and a driver shortly..."
 
We got what we deserve again today. No excuses, we are not up to par and both RDM and players do share this sheet!

kocha wenu ali gamble vibaya kuingia bila strikerz hapo hapo Juventus Kuna mijitu inakaba mbaya kama Chiellini,Bonucci,Asamoah na DAVID LUIS anakuwa out of position kila mkipigwa counter attacks why? SERIOUS you need John Terry back
 
alijaribu kutumia 4-5-0 kama spain

hivi RDM alijiamini vipi kwamba ataifuga timu iliyo kwenye form kama JUVE alafu nyumbani!.... :becky::becky:

ilikuwa btw MEN Vs BOYS .... :becky:

Ilikuwa btw team with real history, real tradition vs plastic team
 
That was realy bad performance from the champs! November is cursed for us, but never say never until the fat Arse sing.
 
Mambo magumu na Point 7 you need to win in match day 6 but if JUVENTUS got a draw with shaktar you are Out...European Champions wa ajabu sana nyie msipofuzu mtaonesha Jinsi mlivyochukua UCL kwa Bahati...

Europa cup watakuwepo City,Liverpool,newcastle mkatuwakilishe vizuri

It's shame we need a helping hand from Shakhtar. Congratulation, you sound like you've progressed already!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom