Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwani recovery inahitaji approach ya kocha, kwani kama ni counter si recovery ndio ingefanya ifanikiwe. Leo Kante hakuwa kwenye form kila mtu aliyeshuhudia ameona hivyo. Hii approach ya leo haikuwa na tofauti na ile ya UCL final, the only diference TT alitumia viungo watatu badala ya wawili
 
The Champions League final match was the most important and glad we won that, I will be watching a replay today and tomorrow , no EPL matches for today and tomorrow thanks πŸ”΅πŸ”΅πŸ”΅
Kwenye ligi utafungwa utajiuliza kama sio kwa aliyekufunga basi ni kwa yeyote atakayejipitisha mbele yako. Chelsea bado tunayo nafasi kubwa ya kubounce back kwa yeyote atakayejipitisha mbele yetu. Wa ikwanza akiwa Southampton.

Lakini kwenye UCL final either you die or live
 
Unataka nianze kukuhesabia ,hujui hata mchezaji wako ,mbaya zaidi unashabikia Chelsea ....

Rudi arsenal huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msimu huu Zimeshachezwa game km 7 hv.....kabla ya kukukojolea uefa tulicheza na real Madrid nusu final...mount hakufunga? Acha kucopy mihabari bila kufanyia uchanganuzi [emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…