Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu mbona unajitahidi sna kuchambua Mpira umeshindwaje kuona kuwa Jorgino ndio alikuwa weaklink leo?, alipashwa kuwa bench 1st half, Konte kecheza kuziba hayo magap
Hizo clearances alizofanya hukuziona, generally wewe umeona weaklink ipi. Sawa misatke ya goli alifanya jorgionho lakini kuna mipira mingi alizuia. Kante umaarufu wake na siku ukisikia au kuona Kante kacheza kwenye form ni kwenye ball recoveries na ndizo zinazoipa Chelsea ushindi kwa counter attack. Kante without recovery no Kante
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkosi wa Toto Tundu unaanzia hapa ni ukweli usio pingika chelsea huwa mnashinda kwa bahati bahati tu game ya leo imeonesha uhalisia wa kiwango chenu kilivyo na bado kipigo ndo kimeanza hivyo.
 
Mbona City naye huwa anashinda kibahayi bahati tu ndiyomaana kalingana points na magoli na Chelsea [emoji848][emoji28]
 
Piga chelwowo hao hahaha nacheka saaaaana
 
Yeah mkuu... wamejitahidi... Tusirudie tena kuchezesha mid watatu kwenye game kubwa.... bora waanze wawili mmoja aongezeke baadae...

Bwashee munabahati sana,,,azile nafasi alizopoteza yule dogo yesu, kama ni aguero mngeisoma namba. Bahati yenu wapaki bus aise
 
Kante sio tatizo. Tatizo lilikuwa na approach kwa ujumla ya TT haikufanya kz... Huo ndio ukweli! Maana Chelsea ilikuwa na uwezo wa kukaa na mipira lkn approach yao ilikuwa ni kuwaacha city watawale mpira wao wavizie counter attacks tu.... Kitu ambacho kilionekana kutokuzaa matunda kabisa.


Walitakiwa wacheze mpira wao wakianza kwanza kwa kuhakikisha wanampoka city possession na kucheza ktk half ya city.


Na ukiangalia sn jinsi game ilivyo kuwa ni km vile Chelsea alitaka apate matokeo positive lkn si kwa kutumia nguvu sn km walivyo kutana na spurs maana wanaona watakuwa na kz kubwa sn baada ya siku tatu kucheza na Juve tena away.... Kwa hiyo ni km walihitaji kuwa calm little bit lkn wakipata matokeo mazuri.


Mtaona game ya Juve namna Chelsea itakavyo kiwasha.
 
Game ya leo city hawakuturuhusu kukaa n mpira ndio maan ukiangalia pale mpira anapoanzishiwa christensen o yeyote yule wachezaj wawil wa city tayar washafika


Game ya leo tumecheza mpira mbovu na tulistahil kufungwa
 
Hii ndio city ninayoijua Mimi ,...

Pep akikuamulia win ,win kudadeki huchomoki......



Pigii mitiiiiiiiiii


Kenge wote wa blues sssssssss
Pep akiulizwa kama yuko tayari kurudisha siku nyuma mpaka ile fainali ya cl ashinde yeye moja halafu leo apigwe moja atakubali bila kujiuliza.

Eti Pep akiamua.

Leicester kachukua kombe mbele yake. Chelsea kachukua kombe mbele yake halafu unasema akiamua kushinda anashinda? Si afukuzwe sasa kama akifika fainali anajidondosha
 
Kai ni false 9?

Kai hana kasi?
 
Timu bovuuu Sana ...

Leo tuemwaonesha mpira wa kwenye kitabu ...


Kenge wa bluee nyie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…