Mkuu KANTE ni mchezaji wa Dunia. Anajua apeleke mpira wapi. Kante bado anTamani kushinda Mataji mengiWakuu hbr za leo... Uchambuzi wangu wa leo ni huu hii sub ya kumtoa Mount na kumuingiza Kante ni bomba la Sub yaani Spurs wamepotea kabisa!
TT ni master wa mbinu....
Tuendelee kushangilia ushindi
Shabiki wa Arsenal hawezi ishabikia spurs. Hata iweje.We endelea kushabikia hao Totte halafu mwisho wa mpira urudi hapa.
James hajaingia... hao wanangoja game ya city... Tutamwaga moto hiyo siku.Shabiki wa Arsenal hawezi ishabikia spurs. Hata iweje.
Nilishangaa vile first half wametoka suluhu, wana possession nzuri na wamecreate chance.
Kumbe tatizo ni Kante hayupo. James kaingia?
Mkuu wewe unatakiwa utazame mpira na si kushabikia manake yako siku zijazo zitakuwa mbaya zaidi [emoji23][emoji23][emoji23]Shabiki wa Arsenal hawezi ishabikia spurs. Hata iweje.
Nilishangaa vile first half wametoka suluhu, wana possession nzuri na wamecreate chance.
Kumbe tatizo ni Kante hayupo. James kaingia?
Mkuu ahsante sana. Karibu tena. Hii ndiyo Chelsea [emoji170][emoji170][emoji170][emoji23][emoji23]1st goal. Thiago silvaView attachment 1945259
Naamini TT atakuwa amejifunza kitu hapa.Lukaku na Werner wanafit together ila mipira itoke kwa Werner kwenda kwa Lukaku na sio vice versa
Hii ya kucheza na viungo watatu hapo kati yaani Kante, Kova na Jorginho ni shida narudia tena ni shida.Mkuu KANTE ni mchezaji wa Dunia. Anajua apeleke mpira wapi. Kante bado anTamani kushinda Mataji mengi
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Jamaa kabadilisha kila kitu. Thank u Werner for assisting Rudger 3rd goal.Hii ya kucheza na viungo watatu hapo kati yaani Kante, Kova na Jorginho ni shida narudia tena ni shida.
Ujue nyi vinabo kimasihara mnaweza nyanyuka na ligi wa kuwazuia ni liva nafikiriJames hajaingia... hao wanangoja game ya city... Tutamwaga moto hiyo siku.
Tulia hapo hapo next meeting anatolewa mtu rohoMkuu wewe unatakiwa utazame mpira na si kushabikia manake yako siku zijazo zitakuwa mbaya zaidi [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app