Natabiri Mendy ataongoza makipa wote EPL kwa saves na clean sheetsEdouard Mendy over the last two games:
12 saves
9 saves from inside the box
4 crosses collected
3 punches
14/29 long passes completed
Ukikuta timu yenye mashabiki wa kike wengi ni balaaNimependa LUKAKU alivyoharibu sherehe za manyumbu kwa Ronaldo bila LUKAKU tusingelala leo.Pia nitoe pongezi kwa Mendy aisee tumepata kipa kweli kweli.
Mount usiwe n Shaka naye Mzee n Jana Tu alipumzishwa coz kuna games nyingi zinafuata wiki ijayoChief unajisumbua tuu kuhusu huyo dogo, Abraham alifunga magoli mengi EPL still uongozi umemuuza Roma.
Huyo dogo atauzwa kwa buy back clause believe that, the blues inasajili word class player, haina muda wa kuvumilia makinda.
Kwa uchezaji wa ovyo anaondelea nao ODOI dirisha lijalo usishangae akapigwa bei au mkopo akasajiliwa mchezaji wa caliber kubwa.
Angalia impact ya dogo Kai uwanjani kwa umri wake mdogo anacheza like world class player ndio wachezaji the blues inawataka na kuwaamini.
Mount akaze kweli kweli ajihakikishie namba.
Kwa odoi sawa, ila kwa Conor, yule sio kama Odoi, mfuatilie kwanza mechi zake, hata Havertz hamkuti Conor kwa kiwango chake cha sasaChief unajisumbua tuu kuhusu huyo dogo, Abraham alifunga magoli mengi EPL still uongozi umemuuza Roma.
Huyo dogo atauzwa kwa buy back clause believe that, the blues inasajili word class player, haina muda wa kuvumilia makinda.
Kwa uchezaji wa ovyo anaondelea nao ODOI dirisha lijalo usishangae akapigwa bei au mkopo akasajiliwa mchezaji wa caliber kubwa.
Angalia impact ya dogo Kai uwanjani kwa umri wake mdogo anacheza like world class player ndio wachezaji the blues inawataka na kuwaamini.
Mount akaze kweli kweli ajihakikishie namba.
Mimi nikiweka ushabiki pembeni nimeangalia game zote za crystal palace walizocheza....Chief unajisumbua tuu kuhusu huyo dogo, Abraham alifunga magoli mengi EPL still uongozi umemuuza Roma.
Huyo dogo atauzwa kwa buy back clause believe that, the blues inasajili word class player, haina muda wa kuvumilia makinda.
Kwa uchezaji wa ovyo anaondelea nao ODOI dirisha lijalo usishangae akapigwa bei au mkopo akasajiliwa mchezaji wa caliber kubwa.
Angalia impact ya dogo Kai uwanjani kwa umri wake mdogo anacheza like world class player ndio wachezaji the blues inawataka na kuwaamini.
Mount akaze kweli kweli ajihakikishie namba.
Mwambie aangalie highlight za match mbili za Crystal palace zilizopita.Kwa odoi sawa, ila kwa Conor, yule sio kama Odoi, mfuatilie kwanza mechi zake, hataHavertz hamkuti Conor kwa kiwango chake cha sasa
Pein killer ni kama fisi anayesubiri mkono wa binadamu udondokeMnatembea kifua mbele Kama mmeshachukua league [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] subili December mtajua hamjui .,
Mount kapumzishwa kwasababu alitokea kwenye international games lakini pia kachezeshwa game nyingi Sana kuanzia msimu uliopita mpaka sasa bila kupumzishwa pia kumbuka J'4 tuna UEFAChief unajisumbua tuu kuhusu huyo dogo, Abraham alifunga magoli mengi EPL still uongozi umemuuza Roma.
Huyo dogo atauzwa kwa buy back clause believe that, the blues inasajili word class player, haina muda wa kuvumilia makinda.
Kwa uchezaji wa ovyo anaondelea nao ODOI dirisha lijalo usishangae akapigwa bei au mkopo akasajiliwa mchezaji wa caliber kubwa.
Angalia impact ya dogo Kai uwanjani kwa umri wake mdogo anacheza like world class player ndio wachezaji the blues inawataka na kuwaamini.
Mount akaze kweli kweli ajihakikishie namba.
Unateseka ukiwa wapi?Mnatembea kifua mbele Kama mmeshachukua league [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] subili December mtajua hamjui .,
Tuombe Mungu tusipatwe na majeruhi, maana Aston Villa jana walitembeza sana viatu hadi nilihisi Alonso ataumia.Mendy pale golini anatisha haswa.
Nikiangalia defensive yetu mabeki na kipa huwa nawazaga UEFA.
Kwa uzuiaji huu mechi za mtoano UEFA tunateleza tuu.
Hao ni wale waliowahi kumuhukumu K Havertz humu jukwaani alipoanza kucheza awali kabisa kuwa "tumepigwa"Mechi moja tu Saul niguez tunamhuku?, Kwanini asipewe mda
Lishabiki 1wapo la manyumbu fc limenieleza kuwa yule Mendy ni mchawi, nikajichekea kwa sauti kubwa hasa "Hiiiii hiii"[emoji1787]Unajua adi sometimes najiuliza ivi huyu mendi anapokuwa golini wanakuwa mendi watatu au wanne. Hapa hakika tuna kipa.
Kwani aligoma kutoa kitambaa?Alonso naye heshima imevuka mpaka Makamu Captain anaingia kagoma kutoa kitambaa, Na captain mwenyewe anaingizwa bado ameng'ang'ania kuwa nacho.
HIvi jaman imekaaje hii ishu...?