Chelsea wasimuuze au kumtoa tena kwenye mkopo huyu Conor Galagher,
uchezaji wake ni kama wa Mount,
Yaani sasa ndie tegemeo la Crystal Palace pale kwenye kiungo
- anajituma,
- anajua kujiposition,
- ni mzuri kwenye set pieace na
- ni mzuri kwenye kufunga na kuassist.
- Huyu ni kiungo mfungaji
Atolewe tu kwa mkopo... Kwa maana sasa hv ni ngumu sana kupata namba...Chelsea wasimuuze au kumtoa tena kwenye mkopo huyu Conor Galagher,
uchezaji wake ni kama wa Mount,
Yaani sasa ndie tegemeo la Crystal Palace pale kwenye kiungo
- anajituma,
- anajua kujiposition,
- ni mzuri kwenye set pieace na
- ni mzuri kwenye kufunga na kuassist.
- Huyu ni kiungo mfungaji
Chelsea walivyo wapuuzi watamtoa tena kwa mkopo.
Conor anaweza kuwaweka benchi hata akina pulisic na havertz na Ziyech akiendelea kuwa onfire kama alivyo sasa. Ungekuwa unamfuatilia ungejua ninja maana ganiAtolewe tu kwa mkopo... Kwa maana sasa hv ni ngumu sana kupata namba...
Ili endelee kuongeza kiwango
Vipi ameongeza mkataba?Ilikuwa almanusra auzwe mwezi January[emoji1787]
Let's go although I wanted Werner to start.That's Werner, Ziyech and Lukaku combo.
Leo Aston villa anapigwa si chini ya goal 3
Anamakosa mengi sana hii villa wanashindwa tuu kutumia nafasiSaul mpk sasa anapoteza mipira hovyo inabidi achangamke
Nahis ugeni wa ligi, premier league iko haitak kukaa n mpira sana nadhan tumpe mdaSio kwamba ni ugeni wa club na ligi?
Nakumbuka mechi ya kwanza ya Harvetz alikuwa anapiga pass nje ya uwanja