Traore hamna kitu mule, yule anajua chenga yake moja y kukimbia hatoi pasi. Mchezaji wa hovyo sana yule jamaa.Lukaku angekuwa ana uwezo wa kuwatoka maadui kama anavofanya Adama Traore angekuwa moto sana (nmemsemea Traore mana wote wana nguvu na miili mikubwa)
Punguza kuwa kilaza mkuuTraore hamna kitu mule, yule anajua chenga yake moja y kukimbia hatoi pasi. Mchezaji wa hovyo sana yule jamaa.
Yaani una mawazo kama yangu, Werner ni sharp kwa kukimbia na kufanya maamuzi anafuatia Mount, may be pia saul atakuja na usharp huo huo, Kova na Jorginhgo sio goal oriented bora KanteMi nadhani partnership ya Lukaku na Werner pale mbele ndio itakuja na majibu ya kufunga magoli mengi
Werner anapata na kutengeneza nafasi nyingi sana, yuko very sharp. Lukaku hapendi mambo mengi sana pale mbele.
Harvetz, Mount wanajivuta vuta sana pale mbele, mwisho wa siku Lukaku anazingirwa na msitu wa mabeki, anakosa hata nafasi ya kushoot.
Binafsi sipendi sana Lukaku akiwa target man pale mbele anabanwa sana na mabeki, weka Lukaku + Werner tuone hatare pale mbele
Kwa speed ya Werner + usharp wake + Energy yake + asiwe mchoyo kutoa pass ya mwisho kwa Lukaku pale mbele patakuwa moto sana
TT pale mbele apange anavyojua ila Lukaku & Werner waanze kwa pamoja, safu yetu ya ushambuliaji iogopeshe.
Werner ---- Lukaku ----- Mount
Werner ----- Lukaku ----- Ziyech
Werner ----- Lukaku ----- Pulisic
Werner ------ Lukaku ----- Harvetz
Werner ----------- Lukaku
-----------Harvetz------------
(wakati wa kushambualia Harvetz apande juu kushoto, Saul apande juu katikati kuachia makombora)
Werner ------------------- Lukaku
-----------------Mount----------------
Kocha angepanga hivyo mbona ingekuwa hatari sanaMi nadhani partnership ya Lukaku na Werner pale mbele ndio itakuja na majibu ya kufunga magoli mengi
Werner anapata na kutengeneza nafasi nyingi sana, yuko very sharp. Lukaku hapendi mambo mengi sana pale mbele.
Harvetz, Mount wanajivuta vuta sana pale mbele, mwisho wa siku Lukaku anazingirwa na msitu wa mabeki, anakosa hata nafasi ya kushoot.
Binafsi sipendi sana Lukaku akiwa target man pale mbele anabanwa sana na mabeki, weka Lukaku + Werner tuone hatare pale mbele
Kwa speed ya Werner + usharp wake + Energy yake + asiwe mchoyo kutoa pass ya mwisho kwa Lukaku pale mbele patakuwa moto sana
TT pale mbele apange anavyojua ila Lukaku & Werner waanze kwa pamoja, safu yetu ya ushambuliaji iogopeshe.
Werner ---- Lukaku ----- Mount
Werner ----- Lukaku ----- Ziyech
Werner ----- Lukaku ----- Pulisic
Werner ------ Lukaku ----- Harvetz
Werner ----------- Lukaku
-----------Harvetz------------
(wakati wa kushambualia Harvetz apande juu kushoto, Saul apande juu katikati kuachia makombora)
Werner ------------------- Lukaku
-----------------Mount----------------
Tunajivunia kuwa na mtu kama wewe hapa jukwaani big up mzee🚨Chelsea players on international duty tonight:
✔Lukaku - 2 goals ⚽️⚽️
✔Werner - 1 ⚽️
✔Mount - 1 assist 🅰️
✔Havertz, Jorginho and Azpilicueta had good game.
🚨Man Of The Match Award:
- Jorginho 🇮🇹🥇
- Werner 🇩🇪🥇
- Lukaku 🇧🇪🥇
🚨Big Chances Created:
- Werner -5
- Havertz- 3
- Mount- 2
- Jorginho- 4
- Lukaku- 2
Blues night, Can't wait for next weekend !!😎💙🔵
Shukran mkuu tuko pamojaTunajivunia kuwa na mtu kama wewe hapa jukwaani big up mzee
We jamaa tokea tukutafune mara kadhaa, umekua mtu w shobo kama mwanamke w baa.Punguza kuwa kilaza mkuu
Kuna fans humu walikuwa wanamuita muoka mikate, sasa sijui kuwa ni kweli. Ross Barkley ni mchezaji mzuri sana ila mvivu, hajitumi na karidhika hapo alipofikia. Hana juhudi kama mwingereza mwenzake MountDuring this international break two years ago, Ross Barkley started back-to-back games for England.
Now he’s stuck on the fringes at Chelsea, has seen his No.8 shirt taken by Mateo Kovacic, and hasn’t been assigned a new squad number.
What happened??? 🥺🥺🤦🏼♂️🤦🏼♂️
Hatma yake ikoje ina maana hatocheza msimu mzimaK
Kuna fans humu walikuwa wanamuita muoka mikate, sasa sijui kuwa ni kweli. Ross Barkley ni mchezaji mzuri sana ila mvivu, hajitumi na karidhika hapo alipofikia. Hana juhudi kama mwingereza mwenzake Mount
🇲🇦 Vahid Halilhodzic hits back at Hakim Ziyech:Sio good news hizo unacceptable behaviour ni zipi? Asije akazileta the blues
Sio discipline kumjibu mualimu wako successful soccer career inahitaji nidhamu ya hali ya juu sanaa, dogo punguza hasira.Hakim Ziyech responds to Vahid Halilhodzic on Instagram story:
"Nex time when you speak, speak the truth."
Barkely anafanya mazoezi na wachezaji wa academy. Aliambiwa atafute timu championship.
Safari ya mwisho ya Fluorence Maluuda pale Chelsea ilihitimishwa kwa style hii. Goodby BarkelyBarkely anafanya mazoezi na wachezaji wa academy. Aliambiwa atafute timu championship.