Antonio Conte
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 1,089
- 1,748
Mkuu nipo kiongozi... Si unajua ligi ilikuwa imeisha sasa imeanza tutakuwa wote muda woteKabisa, yani kwenye listi ya top 5 au 10 ya wachambuzi mahiri sana ktk hili jukwaa la Chelsea CF, huyu mwamba naye hakosekani, lakini sijui kwanini siku hizi anakuwa adimu sana.
ANTONIO CONTE kulikoni mwana wane[emoji848][emoji28]
Kwa kikosi hiki Chelsea hata ukimpa minziro anabeba ndoooView attachment 1905402
Nina wazo,Siku tuombe mechi moja premier legue tucheze wenyewe.
Ila rotation haitakiwa ifanywe kikasuku, kuna wachezaji wakijua ni lazima watacheza kwa staili hiyo hawatafight, mchezaji anayefight position apendelewe zaidi hata kama kuna rotation. Rotation isiwe gift, yaani kila mchezaji lazima acheze. Hii sio pre-season.Mkuu hizo partnership ndiyo zinaleta shida. Siku zote kocha anaetumia Rotation ya wachezaji ndiyo anayepata matokeo. Remember last season baada ya tuchel kuchukua Chelsea amefanya Rotation Karibia mechi zote.
Faida ya Rotation ni kufanya wachezaji wasichoke pia ina leta hamasa baina ya wachezaji kila mmoja anapopata nafasi anaitumia vizuri na kuleta matokeo.
Pia Ujue Kuwa Chelsea ana kikosi kipana kila sehemu pako vizuri. Ushauri wangu next chilwell aanze upande wa Alonso. Zyrich akae saba na timo akae 11 lukaku abaki kati.
Rudga, christiansen, james na Azip waendelee. Sita akae jojinyo pembeni NG'OLO KANTE Jini kata umeme[emoji23][emoji23]
Kingine Tunajua wote kuwa Alonso akicheza mechi tatu au 4 mfululizo inayofata lazima aboronge. So Rotation is very very important mawazo yangu
Je hii ndio ile alipokuwa anakimbia kusubiri pasi ya james au nyingine. Maana kuna jamaa alim zui hadi kwa mikono alipoanza kukimbia mbele kuwahi pasi ya James jama akaachwa anajigaragaza mwenyewe chiniJitu nyumba vibeki uchwara vinaning'inia tu na kubebwa!View attachment 1905428
Katika hao wote uliowataja. Toa Mason Mount.Ila rotation haitakiwa ifanywe kikasuku, kuna wachezaji wakijua ni lazima watacheza kwa staili hiyo hawatafight, mchezaji anayefight position apendelewe zaidi hata kama kuna rotation. Rotation isiwe gift, yaani kila mchezaji lazima acheze. Hii sio pre-season.
Mfano nisingependa Lukaku afanyiwe rotation hata Mendy
Nisingependa pia Rudiger afanyiwe rotation kwa sababu ana consistency nzuri na sio injury prone
Ningependa hawa wafanyiwe rotation
Wachezaji hawa kama n i rotation iwe nadra sana tena kwenye mechi ndogo au za makombe madogo kama FA na Karabao hatua za mwanzoni
- Werner
- Havertz
- Pulisic
- Mount
- Ziyech
- Kovacic
- Kante - hasa kwa sababu ni injury prone ila kwenye mechi kubwa apangwe wa kuanza
- Reece
- Alonso na Chilwell ila Alonso naona anafight kweli kweli hadi nawiwa kumpendelea acheze mechi kubwa zaidi
- Chritasnen
- Chalobah - Hasa kwa sababu bado anayo mengi ya kujifunza, na katika umri wake ni rahisi kukosa consistency
- Azpilicueta kwa sababu ya uzee
- Silva kwa sababu ya umri
- Odoi baadhi ya mechi hasa ndogo aanze
- Mendy
- Lukaku
- Rudiger
Ha ha ha ha hii sio hiyo kuna ile moja ilipelekea mpk huyo beki akapewa kadi ya njanoJe hii ndio ile alipokuwa anakimbia kusubiri pasi ya james au nyingine. Maana kuna jamaa alim zui hadi kwa mikono alipoanza kukimbia mbele kuwahi pasi ya James jama akaachwa anajigaragaza mwenyewe chini
Nakuunga mkono ila bado atahitaji minor rotation ili asichoke na pili kuwapa wenzake nao wajijenge kwenye hizo position. Nazungumzia akina Pulisic, Ziyech na Odoi na hata Werner kwa sababu wote wanacheza almost the same positionKatika hao wote uliowataja. Toa Mason Mount.
Punguza kuw falaa mzeeDidier Drogba vs Arsenal
Mechi 15
Magoli 13
Lukaku naye atafuata nyayo na ameshafungua akaunti yake ya magoli
Sometimes mtu asipopata shibe vizur anakua na hasira za hovyohovyoPunguza kuw falaa mzee