Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,321
Wanaichukia ze blues Tu unakuta hata ni nyumbu mmoja Tu au kuku kishingo[emoji1787]Safi sana Chifu, unaliishi jukwa letu vizuri sawa na majukwaa mengine.
Hivi yule anayerushaga hizi video za magoli ktk timu zingine ila hapa harushi alifanywaga nini hasa na huu uzi hadi asiwe anaziweka humu?
Kapambane kijana wetu. View attachment 1895476
Toa Zouma hapo.Marina anajua biashara sana.
Alinichekesha alipomuongezea Giroud mkabataba halafu akamuuza, hakutaka aondoke bure.
Bakayoko
Zouma
Zappacosta
Barkely
Ermason
Batshuayi
Drink Water
Hawa wakiuzwa dirisha hili itapendeza sana.
I absolutely agree with you [emoji123][emoji471]Since manchester United last won the premier league..
-Chelsea have won UEFA Super cup
-Chelsea have won champions league
-Chelsea have won Europa league (2 times) .
-Chelsea have won FA cup.
-Chelsea have won premier league (2 times)
-Chelsea have won english league cup..
#footballchallenge
Tell the world premier league is Blue !!
Pesa ya Abraham inalipwa kwanza mil 5, zingine kidogo kidogo hadi msimu wa nne wa mkataba wake. Ndivyo walivyokubaliana kwa sababu ya ukataChelsea FC business:
WALIONGIA /INS:
➡️Romelu Lukaku - £97.5M
➡️Marcus Bettinelli - Huru.
Jumla = £97.5M
WALIOTOKA/OUT.
⬅️Fikayo Tomori - £25M
⬅️Marc Guehi - £20M.
⬅️Livramento - £5M.
⬅️Victor Moses - £4M.
⬅️Lewis Bate - £1.5M.
⬅️Simue - £1.5M
⬅️Olivier Giroud - £1M.
⬅️Tammy Abraham - £36M.
Jumla = £94M.
Na bado mauzo yanaendelea.
Marina on the wheel..
Zouma alifanya vizuri kipindi kile cha Lampard baada ya Corona ila alipokuja Tuchel akarudi kwenye default. Anakosa concertation hasa wakati wa counter. Kwa timu zenye kutia pressure kwenye defense Zouma hafai. Mshiko ukitolewa auzwe tuToa Zouma hapo.
Uyo Konde wa nn bana.. Trevo anatosha na kuzd... Sema labda auzwe Zuma
- Tammy Abraham confirmed anaenda AS Roma kwa Mil 40
- Batsuayi naye anaondoka kwa mil 9 kwenda Basiktas - confirmed
- Tayari hapo tunazo mil 49 kwa ajili ya dili la Kounde
Another oneMichuano ya Klabu Bingwa ya dunia inayotambulika kama FIFA Club World Cup kwa mwaka 2021 itaanza tarehe 9 December na kumalizika 19 December.
Chelsea kama Bingwa wa Ulaya atacheza mechi ya kwanza ya Nusu fainal na endapo akishinda atafuzu kwenda fainal.
Michuano hiyo inazishirikisha klabu 6 ambazo ni mabingwa wa Ulaya, mabingwa wa Afrika, mabingwa wa Amerika ya Kusini Mabingwa wa Asia na mabingwa wa Amerika ya Kaskazin na Mabingwa wa Oceania.
Chelsea FC
Trevoh hachezi namba moja na Kounde.Uyo Konde wa nn bana.. Trevo anatosha na kuzd... Sema labda auzwe Zuma
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app