Wewe huijui epl ..Inabidi game 10 za mwanzo zote tushinde, mpaka wachezaji wanaenda kwenye international break tuwe tunaongoza ligi. Hakuna kucheka na kima ni kipigo tu mpaka akili ziwakae sawa ili wajue tuko serious.
Nimefurahi sana kuona wachezaji wetu wako serious na wanataka ubingwa wa ligi kuu. Vile tulicheza jana ndio bigwa anapaswa acheze vile hakuna kucheka na kima ni mwendo wa kuwapelekea moto tu. Yaani mpka maji waite mma, hakuna kuwapa nafasi ata ya kupiga shuti.
Sasa nimeanza kumuelewa TT alipo sema ataunda timu ambayo hakuna klabu itatamani kukutana nayo.
Na kwa jinsi tulivyo cheza jana walahi Lukaku atakuwa top goal score mpaka msimu unaisha. Japo tulipigwa
Wewe huijui epl ..
Unaangaliagaa mpira liverscore ..
Narudia tena ,epl sio tako kila mtu analo..
Ulipigwa ban Lukaku akiwa hajasajiliwa. Now ameshasajiliwa, vp una maoni gani?Tuongeze wachezaji wawili Kounde na Tchouameni, Tchouameni ni wamuhimu sana pia ana kipaji sana.
Kounde waliokuwa wanazuia ni wale waliouzwa ili wabalance mahesabu kwa ajili ya Financial Fair PlayZimebaki SIKU 16 dirisha la usajili lifungwe.
Kwa siku chache zilizobaki unahisi tunaweza kusajili wachezaji hao wawili? SIDHANI
Chelsea yangu naifahamu ikitaka mchezaji kwa umuhimu, dili linapamba moto usiku na mchana mpaka lifanikiwe.
Hili dili la Kounde linavyokwenda mwendo wa kinyonga na epl imeshaanza, angekuwa kwa umuhimu wa ligi anahitajika ungekuta alishatua long time kabla ya dili gumu la Lukaku.
Formula niMzee hiyo sheria ya FFP inawabana The BLUES tuu, Man city hawahusiki?
Nitajie wachezaji wanaouzwa na Man city ndani ya miaka 3 kupisha sajili mpya?
Juzi kasajili Grealish £100M, ametuma offer kwa Kane ,£150M.
Hii £250M city anaibalance vipi kwenye vitabu vya hesabu? Na hawajauza mchezaji yeyote wa maana?
Na pia katika utafiti wangu nimegundua kuwa TV broadcast rights ndio chanzo kuu ya mapato kwenye vilabu na katika kipindi cha Corona hayo mapato ndio pekee haikuyumba, mapato mengine ya ticket, sijui mikataba nk yaliyumba sana kwa klabu nyingiNimekupata Mkuu [emoji122][emoji122][emoji122]
Zimebaki SIKU 16 dirisha la usajili lifungwe.
Kwa siku chache zilizobaki unahisi tunaweza kusajili wachezaji hao wawili? SIDHANI
Chelsea yangu naifahamu ikitaka mchezaji kwa umuhimu, dili linapamba moto usiku na mchana mpaka lifanikiwe.
Hili dili la Kounde linavyokwenda mwendo wa kinyonga na epl imeshaanza, angekuwa kwa umuhimu wa ligi anahitajika ungekuta alishatua long time kabla ya dili gumu la Lukaku.
Ulipigwa ban Lukaku akiwa hajasajiliwa. Now ameshasajiliwa, vp una maoni gani?
Sasa mbona umekiri kwamba atafunga 20+ goals, unajichanganya sasaMkuu mm ata kabla ya kupigwa Ban nisha sema hapa kuwa Lukaku tumepigwa.
Sasa mbona umekiri kwamba atafunga 20+ goals, unajichanganya sasa
Ok ulisema atakwua top goal scorerWapi nimeandika hivyo?
Inabidi game 10 za mwanzo zote tushinde, mpaka wachezaji wanaenda kwenye international break tuwe tunaongoza ligi. Hakuna kucheka na kima ni kipigo tu mpaka akili ziwakae sawa ili wajue tuko serious.
Nimefurahi sana kuona wachezaji wetu wako serious na wanataka ubingwa wa ligi kuu. Vile tulicheza jana ndio bigwa anapaswa acheze vile hakuna kucheka na kima ni mwendo wa kuwapelekea moto tu. Yaani mpka maji waite mma, hakuna kuwapa nafasi ata ya kupiga shuti.
Sasa nimeanza kumuelewa TT alipo sema ataunda timu ambayo hakuna klabu itatamani kukutana nayo.
Na kwa jinsi tulivyo cheza jana walahi Lukaku atakuwa top goal score mpaka msimu unaisha. Japo tulipigwa
Sasa mbona umekiri kwamba atafunga 20+ goals, unajichanganya sasa
Ok ulisema atakwua top goal scorer
Ampadu kachukua 44View attachment 1893003
- Ross Barkley hakuuzwa
- Hakutolewa mkopo
- Hakupewa namba na namba yake kuchukuliwa na Kovacic
- Ndio tuseme ndoto zake za kuja kuwa the next Lampard zimekomea hapo??
Chelsea squad numbers 2021/22
- Kepa Arrizabalaga
- Antonio Rudiger
- Marcos Alonso
- Andreas Christensen
- Jorginho
- Thiago Silva
- N’Golo Kante
- Mateo Kovacic
- Tammy Abraham [emoji2398]ROM Lukaku
- Christian Pulisic
- Timo Werner
- Ruben Loftus-Cheek
- Marcus Bettinelli
- Trevoh Chalobah
- Kurt Zouma
- Edouard Mendy
- Mason Mount
- Callum Hudson-Odoi
- Ben Chilwell
- Hakim Ziyech
- Reece James
- Tino Anjorin
- Cesar Azpilicueta
- Kai Havertz
- Emerson Palmieri
- Lucas Bergstrom
- Ethan Ampadu