Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,321
Eventually Bolingol secured number 9 shirt 👏 Hope Tammy he will return after five years Of Bolingol 🙏Tammy Abraham has accepted to join AS Roma, done deal! The agreement has been reached with the English striker as per @DiMarzio. [emoji837] #ASRoma #CFC
Chelsea will receive €40m on permanent deal paid in installments. Abraham will sign his contract after medicals in the next days.
Abraham > Roma deal details. [emoji1022]Eventually Bolingol secured number 9 shirt [emoji122] Hope Tammy he will return after five years Of Bolingol [emoji120]
Umesema aya maneno mkuu kama sarcasm au uko serious?..kua Halland huoni mchezaj humo?Halland kupwa kujaa, binafsi yangu sioni mchezaji pale
The best team in EuropePremier League TECHNICAL OBSERVATION
FT: Chelsea FC 3-0 Crystal Palace.
[emoji460]️ M.Alonso.
[emoji460]️ C. Pulišić.
[emoji460]️ T.Chalobah.
[emoji736]3 Goals.
[emoji736]3 Points.
We are done [emoji123]..
Tactically Chelsea FC waliwin game kwenye kila eneo la uwanja defensively, midfield and attacking area. Mfumo wa 3421 imekuwa silaha bora zaidi kwa Chelsea FC, timu inacheza kwa utulivu wa hali ya juu. Technically Chelsea inacheza defending game kwa kutake possession kuanzia chini, ikimtukia Jorginho dimba la chini. Chelsea ni ngumu kuwafungua coz wanacheza kwa kukaribiana sana baina ya mchezaji na mchezaji na kutoka mstari mmoja hadi mwingine wapo close sana na wanazuia kwa ushirikiano.
Crystal Palace walishindwa kujipapatua mbele ya vijana wa Tuchel, mbinu za Patrick Vieira zilishindwa kuwork out coz the Blues walitawala maeneo yote matatu ya uwanja, kwani kila walipojaribu kuanzisha shambulizi walizuiliwa kwa kutovuka mstari wa kati.
Kwenye midfield zone upande wa Chelsea, Jorginho aliboss the midfield kwani alizunguka eneo lote la kati la uwanja alitembea pande zote kulia na kushoto, chini na juu, aliweza kudominte one hilo kwa pasi zake fupi fupi maana kuna muda alitumika kama ukuta kugongeshea mpira (wall pass/one two), aliwavuruga viungo wa Palace kwa movements zake alizokuwa akizifanya, alitengeneza nafasi kwa kupiga mipira mirefu iliyovuka mstari wa mabeki na kutua mingongoni mwao, mtu aliyefaidika na mipira hii ni Marcos Alonso ni kama walijuana vile.
Christian Pulišić alipewa jukumu la kuichezesha safu ya ushambuliaji ya Chelsea "Playmaking role" alicheweza kuwachezesha vema kwani kuna nafasi kadhaa alitengeneza, alipiga through balls, alidribble na kuwin fouls kadhaa.
Chalobah impressive.[emoji119]
Marcos Alonso Wow. [emoji123]
Mount nice. [emoji870]
Werner utulivu bado unamsumbua, kuna muda alipata mpira lakini hakuwa na maamuzi sahihi nini afanye kwa muda huo, finishing bado.
Chelsea will have €80m buyback option on the 23-year-old, which can be triggered in the summer of 2023.Tammy Abraham has accepted to join AS Roma, done deal! The agreement has been reached with the English striker as per @DiMarzio. [emoji837] #ASRoma #CFC
Chelsea will receive €40m on permanent deal paid in installments. Abraham will sign his contract after medicals in the next days.
Abraham atafanikiwa sana kule Itally, just kama Lukaku na atarudi in 2 or 3 yearsAbraham > Roma deal details. [emoji1022]
- Tammy will be in Rome today 1pm.
- Buy back clause for Chelsea: €80m valid from June 2023.
- AS Roma will sign him on permanent deal [NO loan].
- Price will be €40m plus add ons paid in installments.
- Salary €4/5m net per season until 2026.
Narudia kusema mimi namuona Alonso kama winga zaidi ya beki, anajua kutengeneza na kufanya mashambuliziBeki Marcos Alonso amefunga goli katika kila msimu wa ligi kuu England akiwa na Chelsea.
Msimu wa 2016/2017 mechi 31 magoli 6,
Msimu wa 2017/2018 mechi 33 magoli 7,
Msimu wa 2018/2019 mechi 31 magoli 2,
Msimu wa 2019/2020 mechi 18 magoli 4,
Msimu wa 2020/2021 mechi 13 magoli 2
Msimu huu 2021/2022 mechi 1 goli 1.
Heshima kwake beki wetu kwa rekodi hiyo.
Plus first clean sheet for Mendy, all defenders played yesterday and ChelseaPremier League TECHNICAL OBSERVATION
FT: Chelsea FC 3-0 Crystal Palace.
⚽️ M.Alonso.
⚽️ C. Pulišić.
⚽️ T.Chalobah.
✅3 Goals.
✅3 Points.
We are done 💪..
Tactically Chelsea FC waliwin game kwenye kila eneo la uwanja defensively, midfield and attacking area. Mfumo wa 3421 imekuwa silaha bora zaidi kwa Chelsea FC, timu inacheza kwa utulivu wa hali ya juu. Technically Chelsea inacheza defending game kwa kutake possession kuanzia chini, ikimtukia Jorginho dimba la chini. Chelsea ni ngumu kuwafungua coz wanacheza kwa kukaribiana sana baina ya mchezaji na mchezaji na kutoka mstari mmoja hadi mwingine wapo close sana na wanazuia kwa ushirikiano.
Crystal Palace walishindwa kujipapatua mbele ya vijana wa Tuchel, mbinu za Patrick Vieira zilishindwa kuwork out coz the Blues walitawala maeneo yote matatu ya uwanja, kwani kila walipojaribu kuanzisha shambulizi walizuiliwa kwa kutovuka mstari wa kati.
Kwenye midfield zone upande wa Chelsea, Jorginho aliboss the midfield kwani alizunguka eneo lote la kati la uwanja alitembea pande zote kulia na kushoto, chini na juu, aliweza kudominte one hilo kwa pasi zake fupi fupi maana kuna muda alitumika kama ukuta kugongeshea mpira (wall pass/one two), aliwavuruga viungo wa Palace kwa movements zake alizokuwa akizifanya, alitengeneza nafasi kwa kupiga mipira mirefu iliyovuka mstari wa mabeki na kutua mingongoni mwao, mtu aliyefaidika na mipira hii ni Marcos Alonso ni kama walijuana vile.
Christian Pulišić alipewa jukumu la kuichezesha safu ya ushambuliaji ya Chelsea "Playmaking role" alicheweza kuwachezesha vema kwani kuna nafasi kadhaa alitengeneza, alipiga through balls, alidribble na kuwin fouls kadhaa.
Chalobah impressive.🙌
Marcos Alonso Wow. 💪
Mount nice. 🖐
Werner utulivu bado unamsumbua, kuna muda alipata mpira lakini hakuwa na maamuzi sahihi nini afanye kwa muda huo, finishing bado.
- Tammy Abraham confirmed anaenda AS Roma kwa Mil 40
- Batsuayi naye anaondoka kwa mil 9 kwenda Basiktas - confirmed
- Tayari hapo tunazo mil 49 kwa ajili ya dili la Kounde
Ndio maana tumeweka kipengele cha kumnunua tenaAbraham atafanikiwa sana kule Itally, just kama Lukaku na atarudi in 2 or 3 years
Vigagula utawajua juHata mukishinda, lakini hamuwezi fikia goli 5, kima nyie.
Kocha anamtaka Kounde na yuko seriousHiyo hela bora tumchukue Tchouameni, tuachane na Kounde.