Natamani game moja TT aje apange huko mbele Lukaku, Warner na Pulisic au Kai.... Tutawakimbiza ni balaa
Na Kwa maana hyo dili la kounde ndo limezama kwenye maji sioChalobah kucheza leo ndio tuseme kwamba hatatolewa mkopo?, kama ni hivyo nitafurahi sana
Dili liko pale pale, wanasubiri Abraham na Batshuayi wauzweNa Kwa maana hyo dili la kounde ndo limezama kwenye maji sio
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Pulisic anainyanyasaga Crystal Palace
Goli 5 tumebatisha?Hapo bado ROM hajaanza kutumbukiza nyavu, msimu huu watakoma na yale manyumbu yaliyobahatisha leo kwa United wakadhani wanajua sana
Taarab hii kaimba nani, Kwadija kopa, ama Nasma khamisi?CHELSEA FC SONG
"Blue Is The Color"
Chorus
Blue is the colour, football is the game
We're all together, and winning is our aim
So cheer us on through the sun and rain
'cause Chelsea, Chelsea is our name
Verse 1
Here at the Bridge whether rain or fine
We can shine all the time
Home or away, come and see us play
You're welcome any day
Chorus
Blue is the colour, football is the game
We're all together, and winning is our aim
So cheer us on through the sun and rain
'cause Chelsea, Chelsea is our name
Verse 2
Come to the Shed and we'll welcome you
Wear your blue and see us through