Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

pole sana ucl ni kombe la wanaume sio watoto unexperienced
EPL ndio kombe la wanaume Wewe ,mlima wa game 38 unalinganisha na hizo group stage - quarter final - semi final - final ....


EPL ndio mwananume
 

League huwezi chukua kizembe namna hio ,wanaume tu ndio wanachukua league ...

Kwa tunaoangalia mpira live ,sio watu wa live score ...

Chelsea haina kitu ,inabahatisha tu ,niamini Mimi ...

League huwezi chukua kizembe namna hio ,wanaume tu ndio wanachukua league ...
Najua unaongea tu lakini nafsi inakubali kwamba Chelsea ni timu Bora😀😀😀. Na unatamani kuwa shabiki wa Chelsea sema tu haujui uanzie wapi mkuu😀. Infact tunakukaribisha Sana karibu kwenye chama la kushinda matrophies, magold 🏅🤣🤣.
 
Kama hamjajua ..

Chelsea ni timu ya kawaida sanaaa ...

Kiufupi mnabahatishaa no doubts ,mnabahatishaa tu ...

Huwezi kubeba league kwa kubahatisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona umekua mbunifu wa kujifariji.
 
PSG ndio wamefanya usajili wa maan msimu huu tena kwa buree
  1. Wijnaldum = kasajiliwa bure
  2. Donnarumma = kasajiliwa bure
  3. Leo Messi= kasajiliwa bure
  4. Sergio Ramos= kasajiliwa bure
  5. Achraf Hakimi = €60 million
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…