Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,525
- 14,873
Kepa huwa ni shujaa kwenye penalty..Vipi unajisikiaje kwa kepa kuibuka shujaha
Uwaga namkubali sana kwenye sector ya penaltyKepa huwa ni shujaa kwenye penalty..
A.K.A Mr Panenka ..amebeba all European Cups..JORGINHO CAN'T STOP WINNING THIS YEAR [emoji91]
[emoji471] EURO 2020
[emoji471] Champions League
[emoji471] Super Cup
View attachment 1889040
Huu mzigo mbona ni wetu hata mamlaka za ufamle wa mbingu zinaelewa.Bado world cup
London always blue[emoji838][emoji838][emoji838]
Anatafuta namba kwa bidii zoteIla huyu chalobah ni mtu
Emerson pia!JORGINHO CAN'T STOP WINNING THIS YEAR [emoji91]
[emoji471] EURO 2020
[emoji471] Champions League
[emoji471] Super Cup
View attachment 1889040
Jiandae kubadili na kauli hii...
Jorginho amecheza fainali zote tatuEmerson pia!
Kombe huchukua timu nzima sio wachezaji 11 tuJorginho amecheza fainali zote tatu
Unaendeleaje na hali.?Narudia tena utabiri msimu huu Tuchele wenu ataboronga ile mbaya hizi game zake za bahati nasibu ka mali ya ndagu hatoboi walai msimu huu.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
aukuchekigi game ya Frankfurt ndo maana ila kama ulichek auna aja ya kuogopa ila mendy kwenye penalt n degea mweus[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16] Nilimtukana TT baada ya kumuingiza Kepa
Mendy asingedaka penati hata moja mbona hilo liko wazi?[emoji16][emoji16][emoji16] Nilimtukana TT baada ya kumuingiza Kepa
Mendy na KepaHivi man of the match ni nani ??