Subject to Rule L.28A, in any league match a club may include in its teamsheet up to nine substitute players of whom not more than three may take part in the league match subject to the conditions set out in Law 3 of the Laws of the Game.
Dogo ana akili na ana jicho la kuona mbaliTammy Abraham mjinga kweli kweli
Roma wamekubali kumsajili ila yeye eti anasubiri Arsenal akaue kipaji chake huko kama akina Saka wanavyojifia taratibu/ Mwenzao Salaha kaenda Italy akarudi hot cae
Lukaku kaenda italy akarudi bei mbaya
Tammy naye akienda Roma atapata muda wa kutosha kuboresha kiwango chake, whose kows anaweza nnuliwa tena na Chelsea kwa mil 140
View attachment 1887412
Hamna mchezaji hapo, ngoja mupigwe.Dogo ana akili na ana jicho la kuona mbali
Mimi kama mratibu wa gunner kutokea afrika mashariki namkaribisha sana
Kwani huu uzi wa Baba yako, mpaka unipangie pakupost.?Kama huogopi ni nini kimekukera mpaka uje kutapika huku
Mwenyewe anaishobokea arsenal, acha tumuweke tu, pale arsenal ndio MTAKUJAHamna mchezaji hapo, ngoja mupigwe.
Huu uzi ni wa The Blue 'BABA" yako, tuna UCL dume la mbegu Ulaya mzimaKwani huu uzi wa Baba yako, mpaka unipangie pakupost.?
Huyu dogo tumuuze hata ikwiriri huko akachimbe dawa..asitusumbueTammy Abraham mjinga kweli kweli
Roma wamekubali kumsajili ila yeye eti anasubiri Arsenal akaue kipaji chake huko kama akina Saka wanavyojifia taratibu/ Mwenzao Salaha kaenda Italy akarudi hot cae
Lukaku kaenda italy akarudi bei mbaya
Tammy naye akienda Roma atapata muda wa kutosha kuboresha kiwango chake, whose kows anaweza nnuliwa tena na Chelsea kwa mil 140
View attachment 1887412
Our aim is winning the match[emoji170]Sure kaka, Wanadamu bana wakikuchukia hata ukicheza kwenye maji watasema unawatimulia vumbi.
Hakuna shabiki yeyote hapa wa Chelsea ambaye amechangia hata Tsh. 100/= kumnunua Lukaku sasa inakuuma nini?
Iache kumuuma Abromovich na familia yake ije ikuume wewe kazi yako kushabikia timu?
Abromovich alitoa pesa nyingi kwa Torres, Shevchenko, Morata, Batshuayi, Keppa wamevurunda ile mbaya, boss haijamuuma bado anaendelea kutoa pesa.
Ina maana bodi ya Chelsea fc iliyosheheni maprofessional wa kila aina wamekaa chini wakajadiliana mpaka wakaamua kuidhinisha mabilioni kumsajili Lukaku ni wajinga?
Washambuliaji watatu tuu waliokuwa sokoni wa caliber ya Chelsea LUKAKU, HAALAND, KANE.
Sakata la KANE mnaliona wenyewe
Haaland Dortmund wanataka 175M + 50M (wakala na mzazi) = 205M, mshahara sio chini ya 400K per week. ISITOSHE HANA MAPENZI NA THE BLUES
Tuacheni unafiki, tuweni na mapenzi ya dhati kwa club yetu. Tuisupport kwa kila namna, usajili wowote ni kamari.
Zaidi wana BLUES tunayo bahati sana kuwa na tajiri anayependa timu yake anapenda mpira, anatoa mabilioni ya pesa kila msimu kusajili wachezaji.
Arsenal na Liverpool wanatamani wangekuwa na tajiri aina ya Abromovich waache kununua wachezaji wa mafungu au mpaka wauze mchezaji ndio wanunue mchezaji.
Blue is the colour, Football is the Game
My take👁TECHNICAL OBSERVATION:
Nini athari ya ujio wa Romelu Lukaku ndani ya Chelsea FC hasa kwenye front line. Nani ataenda kuathirika zaidi kimfumo.
Big fat idiot kabisa wewe. 😂😂😂😂Mwenyewe anaishobokea arsenal, acha tumuweke tu, pale arsenal ndio MTAKUJA
wote tulikua mashabiki wa arsenal, matumizi ya bangi ndio imewafanya wengine muwe man u, mbaya zaidi wengine hadi Chelsea[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe inaelekea humjui TT kabisaMy take
Baadhi ya wachezaji kama Timo werner hawatapata nafasi ya kudumu kikosini.
Lakini pia Kai Havertz hatocheza tena False 9 bali atakuwa akicheza kama center attacking midfielder au winga,Hii itapelekea baadhi ya wachezaji kama Hudson Odoi,Pulisic,&Ziyech kupambania hiyo nafasi.
Athari nyingine ipo kwenye mfumo;kwa mtazamo wangu naona kocha TT ataanza kutumia mfumo wa 4-3-3 badala ya ule wa 3-4-2-1,3-4-1-2 au 3-4-3 ili kuwapa nafasi Mawinga wawili &striker mmoja.
Kwa upande wangu tutegemee kikosi cha kudumu chenye👉
Mendy,James,Rudiger,T.silva&Chilwell.
Kante,Jorginho&Mount.
Pulisic Lukaku Havertz.
Mfumo 4-3-3.
Ndio akili za watoto hizi sasa wewe UCL unamtambia nani? Labda Arsenal. Maana ukitaja mabingwa wa 3 wa UCL wa muda wote huwez kuacha kumtaja LIVERPOOL.Huu uzi ni wa The Blue 'BABA" yako, tuna UCL dume la mbegu Ulaya mzima