Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hamna pesa, period
Liverpool mkijitahidi sana ninyi ni wala dagaa
Hamuwezi ingia duka au supermarket Chelsea wanaenda kufanya manunuzi
Mlibahatisha kwa VVD na Salah na Mane na Alisson sio kila siku mtabahatisha hivyo, hadi miaka 30 tena
Sasa unafikiri pesa inatolewa kindezi tu. Sisi ukiona tuna toa pesa ya maana ujue mjiandae kiakili. Ila ninyi hata mtumie vipi pesa wala hatuogopi na wala hamzungumzwi sana kwasababu ni katimu kadogo ambako kanaotea otea tu.
 
Utakuja kufia kwenye mashimo huko ,utuleteee msiba mchimba chimvi wewe
Kiboko yako we ni Ihinacho.
Huyo jamaa ndio kashilia mwiko, yani nyie munapika jamaa anakuja kuwapakueni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Zile beki zenu magwaya na varane zitacheza ndomboloo..huu msimu sioni wa kutuzuia tena
Hiyo taka taka hainipasui kichwa, labda mungempata Halland.
Nakuhakikishia kwenye game 10, atafunga goli 2 tu, tena moja la penati.
 
Hiyo taka taka hainipasui kichwa, labda mungempata Halland.
Nakuhakikishia kwenye game 10, atafunga goli 2 tu, tena moja la penati.
Sisi hatuna haja ya kuongea sana ..subiri uone mvua za magoli kwenye hizi timu takataka.. tutatoa dozi hadi kieleweke..
 
UEFA Supper Cup Squad FINAL

Total = 24

Goalkeepers:
  1. Edouard Mendy,
  2. Kepa Arrizabalaga,
  3. Marcus Betinelli
Defenders:
  1. Reece James,
  2. Cesar Azpilicueta,
  3. Andreas Christensen,
  4. Thiago Silva,
  5. Antonio Rudiger,
  6. Kurt Zouma,
  7. Trevoh Chalobah,
  8. Ben Chilwell,
  9. Emerson,
  10. Marcos Alonso

Midfielders:
  1. Mason Mount,
  2. N'Golo Kante,
  3. Jorginho,
  4. Mateo Kovacic,
  5. Ruben Loftus-Cheek

Attackers:
  1. Kai Havertz,
  2. Timo Werner,
  3. Hakim Ziyech,
  4. Christian Pulisic,
  5. Callum Hudson-Odoi,
  6. Tammy Abraham
 
Ongeza lukaku
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…