Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Ulitaka kutuambia kazi yako ya uchimbaji pambana mkuuuHii posti nai hifadhi.
Kwani me ni mmoja wapo kati ya wanaompinga, japo hayanihusu.
Makaku afunge goli 8 kwenye game 10? Naacha kuchimba narudi kukaakijiweni kungoja ajira ya serkali.
Ila inabidi tuwe na mashine nyingine balaa yaani lukaku apatiwe mwenzie anaetupia sio chini ya 20 za uhakika kwa msimu mbona wataimba poo hapo EPLNaungana na ww jmaaa hao wanao mponda LUKAKU NDIO HAO HAO WATAMKUBALI
Mess wait and see.Ila inabidi tuwe na mashine nyingine balaa yaani lukaku apatiwe mwenzie anaetupia sio chini ya 20 za uhakika kwa msimu mbona wataimba poo hapo EPL
Aisee hata mimi napawazia maana hawa psg watazd kiwango kilichowekwa kwenye sheria aisee aje aje tutaua watu mbona mwaka huuMess wait and see.
Barca wanatumia issue ya messi ku attract funding
Ila inabidi tuwe na mashine nyingine balaa yaani lukaku apatiwe mwenzie anaetupia sio chini ya 20 za uhakika kwa msimu mbona wataimba poo hapo EPL
Abrahm nasepa huko ingia transfer market utaona anatafutwa.Naona Abraham akibaki kusaidiana nae maana Broja anaelekea Southampton kwa mkopo.
Weee ya kweli hayo au unatunga kutuzngua humuBREAKING! Chelsea kumpata
Messi mkataba wa miaka mitatu na atavuta Paundi Million 40 kwa mwaka.
Mbona povu jingi!?Mimi nazungumzia Villarreal wewe pimbi
Kuna watu wakimwona huyu jamaa wanatetemeka kwa kifupi ni kwamba tangu aondoke man u hawajawahi kupata tena mfungaji kama huyu sasa anarudi nyumbani wanatetemeka karibu lukaku karibu nyumbani
Kuna tatizo gani hapo academy/Chelsea mbona madogo wanaondoka sana.?