Hii posti nai hifadhi.Hatutawasamehe bure hawa ndugu zetu wanaosusia usajili wa Lukaku
Mechi kumi tu za Lukaku lazima kuna mashabiki humu watachoma nyama ya kuomba msamaha
Kwa wale wa Arusha kuna Muriet Mahakama ya Nyama choma
Kwa wale wa Dar pendekeza eneo
Na miji mingine hivyo hivyo
Tukumbushane baada ya mechi dhidi ya Newcastle, Burnely, Leicester city au Manyumbu United
Ikiwa Lukaku hajafunga goli angalao 8 sis tunaounga usajili huu tutawachomea nyama hao ndg zetu wenye hisia tofauti
Ila kama Lukaku atakuwa amefunga angalau goli 8 kwenda juu wao itabidi watuchomee nyama
Ushauri huu unahusika kwa mechi 10 alizocheza Lukaku kwa kuanza
Hii ni kwa mashabiki wa Chelsea tuHii posti nai hifadhi.
Kwani me ni mmoja wapo kati ya wanaompinga, japo hayanihusu.
Makaku afunge goli 8 kwenye game 10? Naacha kuchimba narudi kukaakijiweni kungoja ajira ya serkali.
Hahahahaha skia sasa mkuu nataka nije maeneo huko kuchimba mzigo, au naeza tolewa kafara nini..Nilikuambia me usiende Doha, kule tende halua ndio zao, umeona sasa umekua laini!
Ubaguzi gani niliounesha au hujui kua Makaku (inaandikwa macaco) maana yake ni nyani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lukaku atawabamiza nyie vinabo hadi mkome..ngoja jembe liingie darajani huu msimu mtajuta kumjua Lukaku nyie manure ...sisi ndio Chelsea..Hii posti nai hifadhi.
Kwani me ni mmoja wapo kati ya wanaompinga, japo hayanihusu.
Makaku afunge goli 8 kwenye game 10? Naacha kuchimba narudi kukaakijiweni kungoja ajira ya serkali.
Huyo kiloba kwa muda huo hata goli tano cjui kama atakua amefikisha.Hatutawasamehe bure hawa ndugu zetu wanaosusia usajili wa Lukaku
Mechi kumi tu za Lukaku lazima kuna mashabiki humu watachoma nyama ya kuomba msamaha
Kwa wale wa Arusha kuna Muriet Mahakama ya Nyama choma
Kwa wale wa Dar pendekeza eneo
Na miji mingine hivyo hivyo
Tukumbushane baada ya mechi dhidi ya Newcastle, Burnely, Leicester city au Manyumbu United
Ikiwa Lukaku hajafunga goli angalao 8 sis tunaounga usajili huu tutawachomea nyama hao ndg zetu wenye hisia tofauti
Ila kama Lukaku atakuwa amefunga angalau goli 8 kwenda juu wao itabidi watuchomee nyama
Ushauri huu unahusika kwa mechi 10 alizocheza Lukaku kwa kuanza
Nendeni mukajadiliane chumbani, lakini ikiwa hapa, basi hata sisi tutachangia.Hii ni kwa mashabiki wa Chelsea tu
Nasikia jana mumepakuliwa na Leicester city, hivi ni kweli?Hilo pipa lenu match 5
0 goal
0 assist
Mmepigwaaa
Au ndo jamaa mmoja wa arsenal kasema anaandaa modality ndo kashafanya yake nn,[emoji1787]Naona mwanangu papaa gx keshakula ban, nani kasababisha mshikaji kula red card hapa jeiefu?? Au ni huyu Kitoabu nini..
Papaa GX mbona ndugu yangu wa faida! Sina chuki nae hata kidogo.Naona mwanangu papaa gx keshakula ban, nani kasababisha mshikaji kula red card hapa jeiefu?? Au ni huyu Kitoabu nini..
Itakuwa kuna mhuni wa arse8 kalikorofisha uko kwa ndugu yetu..Au ndo jamaa mmoja wa arsenal kasema anaandaa modality ndo kashafanya yake nn,[emoji1787]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
We mzee wa lupatu tuliaHuyo Lukaku sijui Macacu (Nyani) mumepigwa mchana kweupeee.
Hana hadhi ya 100 ml.
Kazi yake nzuri Kwa kweliMpaka sasa wachezaji ambao wamenunuliwa na klabu ya Chelsea tangu mkongwe Peter Cech awe mkufunzi wa ufundi ni:
Edouard Mendy
Kai Hervatz
Hakim Ziyech
Timo Werner
Thiago Sliva
Ben Chilwell na
Romelu Lukaku..
Unaionaje kazi yake
Mzee wa lipatuu hahahaaaWe mzee wa lupatu tulia
Ajira ya serikali huwezi pata ushakuwa kibabu wewe.Hii posti nai hifadhi.
Kwani me ni mmoja wapo kati ya wanaompinga, japo hayanihusu.
Makaku afunge goli 8 kwenye game 10? Naacha kuchimba narudi kukaakijiweni kungoja ajira ya serkali.
Siwezi kufikiliwa hata kumuendesha waziri jamani?Ajira ya serikali huwezi pata ushakuwa kibabu wewe.
Endelea kuchima lukaku lazima akutoe mkuku