Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,321
Yeah na Werner apunguze uchoyoPartnership ya Werner & Lukaku kule mbele naona itazalisha magoli mengi sana kutokana na experience yao ya kucheza mastriker wawili kwenye club walizotoka.
Inter - Lukaku & Martinez
Leipzig - Werner & Poulsen/Schick
Chelsea fc - Werner & Lukaku = EPL, UCL
Hata huko Barca kwenyewe, walishakubaliana kila kitu, ilipofika kwenye malipo, Messi anatakwia akubali punguzo la 50% ili iendane na Fair play law ya Laliga amabapo mishahara ya waajiriwa wa timu iendane na mapato. Kwa sababu ya Corona, Mapato ya Barca yameshuka na kuacha kwa umbali mzigo wa mishahara.Nimaongezi hajasaini lolote linaweza kutokea kumbuka ya gin wa liverpool na barca waliafikiana kila kitu ila muda wa mwisho ngoma ikapinduka hivyo lolote linaweza kutokea ndio maana messi na watu wake wamesema wiki ijayo bado wanasikilizia timu zingine ili waamue sawa.
Next season competition itakua kubwa sanaUsihofu dirisha lijalo tunamleta Haaland Stanford bridge una wasiwasi na Abrmovich?
Manure ile iliyopoteza dira au nyingineNaona munakula matapishi yenu!
Ila musisahau England ni tofauti na Italy.
Sema chelsea angalau maana hawana wachezaji wanaolipwa hela kubwa saana. Pale psg kuna watu wanalipwa haswa hivyo acha tuone itakavyo kuwa kwa chelsea inawezekana akaenda acha tuoneHata huko Barca kwenyewe, walishakubaliana kila kitu, ilipofika kwenye malipo, Messi anatakwia akubali punguzo la 50% ili iendane na Fair play law ya Laliga amabapo mishahara ya waajiriwa wa timu iendane na mapato. Kwa sababu ya Corona, Mapato ya Barca yameshuka na kuacha kwa umbali mzigo wa mishahara.
PSG nao wanapitia the same path. Wanategemea kuuza tena wachezaji wa bei kubwa ili wapate pesa za kubalance mahesabu yao ndipo Mesi asajiliwe. Utamuuzia nani mcheza wa bei ghali sasa hivi
Hata Chelsea wakitaka kumsajili Mesi ili mahesabu yabalance ni lazima waachane na ununuzi wa Lukaku na hata ule wa Kounde
Useng huu sasa.The Athletic wanasema deal done, Lukaku sasa anasubiri kutangazwa mchezaji wa Chelsea tu
Chelsea agree club-record €115m deal with Inter over Romelu Lukaku transfer
Chelsea today agreed a deal worth a club record €115 million (£97.5 million) to re-sign striker Romelu Lukaku. The Belgium international, who was at Stamford Bridge between 2011-14, is expected to sign a five-year contract worth around €12-13 million-a-year net (about £195,000-a-week after...theathletic.com
Hata mimi hapa shasanukaUchezaji wa lukaku sioni ukifit Chelsea ...
Mnaenda kupigwa kweupe
Lukaku mnapigwaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani Lukaku hajawahi kucheza ligi ya Uingereza?Naona munakula matapishi yenu!
Ila musisahau England ni tofauti na Italy.
Acheni kukaririNaona munakula matapishi yenu!
Ila musisahau England ni tofauti na Italy.
Mtu alifeli man u wkt kila msimu anafunga goli zaidi ya 10 ..sasa sijui unamaanisha alifeli Kwa kigezo kipi Labda unieleweshe[emoji23]....hakufit Kwa style ya nyumbu Ila sahv kaimprove Sana wazee duh!Lukaku alifeli man u, Chelsea wanamtka tena, nafuu tungemchukua Harland
Aseeh hata mimi nimemshangaa jamaa anavyosema lukaku amefeli man u wakati man U yenyew kwa misimu ya hivi karibuni imekua tiamajitiamajiMtu alifeli man u wkt kila msimu anafunga goli zaidi ya 10 ..sasa sijui unamaanisha alifeli Kwa kigezo kipi Labda unieleweshe[emoji23]....hakufit Kwa style ya nyumbu Ila sahv kaimprove Sana wazee duh!
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ole alimprefer martial, hata ukiangali msim wake wa mwisho epl tho alikuwa haanzi alikuwa na goal 15 kama sijakoseaLukaku alifeli man u, Chelsea wanamtka tena, nafuu tungemchukua Harland
Hao ndio mashabiki waliokaririshwa alafu wanajifanya wajuaji kuna mwingine kanichekesha ile mbaya anasema Lukaku yupo slow unaanza kumtafakari huyu mtu soccer analolifatilia ni lipi?Aseeh hata mimi nimemshangaa jamaa anavyosema lukaku amefeli man u wakati man U yenyew kwa misimu ya hivi karibuni imekua tiamajitiamaji