Kwa jinsi TT anavyopenda kubadili line ups, hao wote isipokuwa Abrahama na Batshuayi watacheza kwa kubadilishanaInategemana sasa na Aina ya mechi/Opponent tunayecheza naye vs Mahitaji ya TT
Lukaku/Kai
Lukaku/Abraham
Lukaku/Batshuayi
Werner/Pulisic
Werner/Kai
Mount/Kai
Mount/Ziyech
Ziyech/Pulisic
Ziyech/Odoi
Wataenda kama Barca tu ikifika kwenye malipo wata collapseJambo ambalo hufahamu ni kuwa PSG iko kwenye hatua za mwisho kumchukua Messi
Kwasasa naona nguvu zote zimewekwa Kwa strikerHilo la Jules Kounde sidhani kama litafanikiwa
Hao kina batshuayi au Abraham wanaweza wakapigwa mkopo au kuuzwaInategemana sasa na Aina ya mechi/Opponent tunayecheza naye vs Mahitaji ya TT
Lukaku/Kai
Lukaku/Abraham
Lukaku/Batshuayi
Werner/Pulisic
Werner/Kai
Mount/Kai
Mount/Ziyech
Ziyech/Pulisic
Ziyech/Odoi
Mmiliki wa Chelsea Roman Abramovich ameomba ''mkutano wa dharura'' na wawakilishi wa Messi baada ya kutangazwa kuwa hatasalia Barcelona. (AS in Spanish)
Big boss anataka mkutano na watu wa messi haya baba tuletee Messi tuachane na kina lukaku
Lukaku akija, tammy ndio kwaheriInategemana sasa na Aina ya mechi/Opponent tunayecheza naye vs Mahitaji ya TT
Lukaku/Kai
Lukaku/Abraham
Lukaku/Batshuayi
Werner/Pulisic
Werner/Kai
Mount/Kai
Mount/Ziyech
Ziyech/Pulisic
Ziyech/Odoi
Linafanikiwa, leo hii sevilla washaanza kutafuta replacement wake n offer yao kwa kabak ya 10M imekataliwaHilo la Jules Kounde sidhani kama litafanikiwa
Nimaongezi hajasaini lolote linaweza kutokea kumbuka ya gin wa liverpool na barca waliafikiana kila kitu ila muda wa mwisho ngoma ikapinduka hivyo lolote linaweza kutokea ndio maana messi na watu wake wamesema wiki ijayo bado wanasikilizia timu zingine ili waamue sawa.
Tusubirie maana mpaka akisaini ndio utajua ni mchezaji wa timu husika now bado hajasaini huko psg wamepatana wiki ijayo hivyo kutega maboya ni muhimu akiwa anachekecha club zingine. Chochote kinaweza kutokeaDeal done, anaenda psg
Afu huko juu nimeona mtu anambeza lukaku na hajamuweka messi kwa list yake aliyojitengenezeaWafungaji 20 bora Ligi Kubwa 5 (EPL, La Liga, Bundesliga, Serie A na Ligue 1) za Ulaya kwa msimu wa 2020/21
- Robert Lewandowski | Bayern Munich | 41 goals (82)
- Lionel Messi | Barcelona | 30 goals (60)
- Cristiano Ronaldo | Juventus | 29 goals (58)
- Andre Silva | Eintracht Frankfurt | 28 goals (56)
- Erling Haaland | Borussia Dortmund | 27 goals (34)
- Kylian Mbappe | PSG | 26 goals (52)
- Romelu Lukaku | Inter | 24 goals (48)
- Gerard Moreno | Villarreal | 23 goals (46)
- Karim Benzema | Real Madrid | 23 goals (46)
- Harry Kane | Tottenham | 23 goals (46)
- Luis Muriel | Atalanta | 22 goals (44)
- Mohamed Salah | Liverpool | 22 goals (44)
- Luis Suarez | Atletico Madrid | 21 goals (42)
- Dusan Vlahovic | Fiorentina | 21 goals (42)
- Wout Weghorst | Wolfsburg | 20 goals (40)
- Andrej Kramaric | Hoffenheim | 20 goals (40)
- Ciro Immobile | Lazio | 20 goals (40)
- Simy | Crotone | 20 goals (40)
- Memphis Depay | Lyon | 20 goals (40)
- Wissam Ben Yedder | Monaco | 20 goals (40)
Nimependa alivyowekwa broja 👏Squad for Supper Cup against Villarreal
The 26-man Chelsea squad as listed on UEFA’s official website:
Goalkeepers:
Defenders:
- Kepa Arrizabalaga
- Marcus Bettinelli
- Edouard Mendy
- Lucas Bergstrom
Midfielders:
- Antonio Rudiger
- Marcos Alonso
- Andreas Christensen
- Thiago Silva
- Kurt Zouma
- Ethan Ampadu
- Ben Chilwell
- Reece James
- Cesar Azpilicueta
- Emerson Palmieri
Forwards:
- Jorginho
- N’Golo Kante
- Christian Pulisic
- Mateo Kovacic
- Mason Mount
- Callum Hudson-Odoi
- Hakim Ziyech
- Faustino Anjorin
- Kai Havertz
- Tammy Abraham
- Timo Werner
- Armando Broja
Naona munakula matapishi yenu!Inter milan wamekubali offer ya Chelsea kilichobaki now ni confirmation from both teams kwa maana nyingine muda wowote kuanzia now Lukaku atatangazwa kuwa mchezaji wa Chelsea.