End of an era for Lionel Messi and FC Barcelona [emoji22]
4x Champions League [emoji471]
10x LaLiga [emoji471]
7x Copa Del Rey [emoji471]
3x FIFA Club World Cup [emoji471]
8x Supercopa De España [emoji471]
3x UEFA Supercup [emoji471]
17 seasons [emoji633]
778 appearances [emoji153]
672 goals [emoji460]️
305 assists [emoji2402]
The [emoji238] has left Camp Nou
Nasikia jamaa katimka ni mchezaji huru. Alishjasema anataka kwenda kucheza MarekaniKuna Messi huku vipi si atatufaa[emoji23][emoji23]
We hukasikia Barbara Gonzalez yupo Hispania kaondoka na ndege ya uskiu?Nasikia mnyama Messi anakuja Chelsea
Sijui hata watu wanamuonaje? Mi namuona mchezaji wa kawaida sana bora hata angabaki Giroud kuliko huyo Baunsa.Lile zuzu sijui wanalitaka la nn
Kauziwa kuku mgonjwa kwa wingi wa manyoyaPOOR AGUERO, RAFIKI YAKE KAMUUZIA CHAKA KAKIMBIA
Sergio Aguero on the day he signed for Barcelona: “Messi convince me to come to Barcelona, it has always been my dream to play alongside Leo at a club level.” pic.twitter.com/4fed6uIi04
— Football Shithousery (@FootyRustling) August 5, 2021
Mimi naona wengi waachuki binafsi ukiwaambia walete numbers wanakimbiaKuhusu LUKAKU
Baadhi ya mashabiki wenzetu wa chelseafc wanambeza lukaku eti kisa ana mwili mkubwa bila kuangalia Nini anafanya uwanjani.Nilichojua kuwa wengi wao hawamfahamu vizuri Lukaku, Sifa moja ya LUKAKU ni mchezaji mwenye kasi japo ana mwili mkubwa na magoal mengi kafunga wakati wa michuano ya uero na baadhi mechi za ligi ya italy kwa style hii hii.Ni finisher mzuri, anajua kuhold mpira, kutengeneza assist na kujiposition lakini ana nguvu na hii inaitajika Sana kwenye ligi ya Uingereza.
Lukaku ana uzoefu na ligi ya Uingereza na ameshaprove tayari, michuano ya uero Lukaku ameshika nafasi ya pili nyuma ya Ronaldo kwa kufunga magoal mengi utasemaje ni mbaya? Mbona Timo Werner Hana mwili mkubwa kwanini Hana hata robo ya statistics za magoal aliyonayo LUKAKU?
Msimu uliopita katika mechi alizocheza 36 kafunga goal 24 na akaassist 11 anakuaje mchezaji mbaya kwa hizi takwimu? au mnamaanisha lukaku sio huyu ninayemfahamu
lembu
ENZO
Mkohoti
Cash Money Forever
Huo waonafanya ni upuuzi na hawaitakii mema team yetu, shida yetu inajulikana ni finisher sasa kwanini uanze kumchukia mchezaji ambaye Tuchel mwenyewe anamkubaliMimi naona wengi waachuki binafsi ukiwaambia walete numbers wanakimbia
Kuhusu LUKAKU
Baadhi ya mashabiki wenzetu wa chelseafc wanambeza lukaku eti kisa ana mwili mkubwa bila kuangalia Nini anafanya uwanjani.Nilichojua kuwa wengi wao hawamfahamu vizuri Lukaku, Sifa moja ya LUKAKU ni mchezaji mwenye kasi japo ana mwili mkubwa na magoal mengi kafunga wakati wa michuano ya uero na baadhi mechi za ligi ya italy kwa style hii hii.Ni finisher mzuri, anajua kuhold mpira, kutengeneza assist na kujiposition lakini ana nguvu na hii inaitajika Sana kwenye ligi ya Uingereza.
Lukaku ana uzoefu na ligi ya Uingereza na ameshaprove tayari, michuano ya uero Lukaku ameshika nafasi ya pili nyuma ya Ronaldo kwa kufunga magoal mengi utasemaje ni mbaya? Mbona Timo Werner Hana mwili mkubwa kwanini Hana hata robo ya statistics za magoal aliyonayo LUKAKU?
Msimu uliopita katika mechi alizocheza 36 kafunga goal 24 na akaassist 11 anakuaje mchezaji mbaya kwa hizi takwimu? au mnamaanisha lukaku sio huyu ninayemfahamu
lembu
ENZO
Mkohoti
Cash Money Forever
uyo toney kafanya nn cha maana unavomsifu ivo chelsea kwa sasa anaitajika elite striker sio awa wa level za kina tammy ndo mana unaskia majina yanayoongelewa n ma3 haaland, lukaku, kane basMle hamna kitu, ni takataka tu. Halaand ama Toney ndio wakuleta.
uyo toney kafanya nn cha maana unavomsifu ivo chelsea kwa sasa anaitajika elite striker sio awa wa level za kina tammy ndo mana unaskia majina yanayoongelewa n ma3 haaland, lukaku, kane bas
Hao sasa kuwapata ndio shida, kila mtu anamkubali Haaland, kumpata sasa ndio mzikiMle hamna kitu, ni takataka tu. Halaand ama Toney ndio wakuleta.
Huo toney muondoe out of equation, mtu wa ligi ndogo kuja kumjadili hapa ni uhalifu mkubwa, tubaki na Haaland na Lukaku. Haaland ni mzuri kuliko Lukaku. Kumpata ndio kaziuyo toney kafanya nn cha maana unavomsifu ivo chelsea kwa sasa anaitajika elite striker sio awa wa level za kina tammy ndo mana unaskia majina yanayoongelewa n ma3 haaland, lukaku, kane bas
Hata kwa Abraham na barcley tulisema hivi hivi mkasema chuki binafsi, Hata kwa Lampard tulisema uwezo wake wa ukocha ni mdogo, watu wakapinga,Leo yapo wapi? ....... wale waliokua wanasema chuki binafsi sahivi wametuliaaa.Huo waonafanya ni upuuzi na hawaitakii mema team yetu, shida yetu inajulikana ni finisher sasa kwanini uanze kumchukia mchezaji ambaye Tuchel mwenyewe anamkubali
Huo waonafanya ni upuuzi na hawaitakii mema team yetu, shida yetu inajulikana ni finisher sasa kwanini uanze kumchukia mchezaji ambaye Tuchel mwenyewe anamkubali
Umesikia wapiNasikia mnyama Messi anakuja Chelsea
Mwenyewe nawashangaa Ila ndo mawazo Yao [emoji23]...na wajiandae kisaikolojia akituaKuhusu LUKAKU