Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa nini tusiweke hiyo 150£ kwa Haaland, miaka 28 na hilo touch ya km 1 tutapingwa regardless hizo statistics zake

Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
Hata mimi naona siku zote hivyo, sijui ni kitu gani kimewazuia Chelsea wasimfukuzie Haaland wakati tukiwa naye timu itapata mapato na makombe mingi sana kwa miaka ijayo kwa muda mrefu tofauti na Lukaku wa miaka3 -7 maximum tu wakati Haland ni prospect wa miaka 15 na ushee
 
Thomas Tuchel msimu huu anafukuzwa, anayebisha anyooshe kidole
 
Lukaku wa kazi gani aiseee
 

Inter make £110m decision​

According to CaughtOffside, Inter Milan are set to accept Chelsea's €130million (£110m) offer for Romelu Lukaku.

However, the report claims that the decision will now solely be down to the player, who is said to be happy in Milan.
 
tukimkosa haaland, Lukaku ni wa lazima na kwa muda mfupi atakaocheza atawabadili fikra fans wote wanaomkataa sasa hivi
Lukaku akingaa chelsea, naahidi kutembea kw kichwa ubungo mpk morogoro.
 
Kwa prospect iliyo ndfani ya Haaland bado hiyo amount inalipa. Kumbuka tutakuwa naye kwa muda mrefu, takriban miaka 15 na ushee kama hata hama. Na hata akihama lazima pesa zetu zitarudi na faida
Hiyo ngumu kukaa nae, tunamjua Riola jinsi alivyo after few season ataanza kumpeleka real madrid or barce
Kusema Haland tutakaa nae kwa zaid ya misim 10+ hapana Raiola siku zote yuko after money
 
Hiyo ngumu kukaa nae, tunamjua Riola jinsi alivyo after few season ataanza kumpeleka real madrid or barce
Kusema Haland tutakaa nae kwa zaid ya misim 10+ hapana Raiola siku zote yuko after money
Siku zote ni kucheza na namba, Chelsea wanajua kucheza na namba vizuri kupitia mikataba. Hata akitoka bado Chelsea itakuwa na faida labda awe flop. Kukaa miaka 15+ ni projection tu
Naamini kwa saasa Chelsea ni moja ya timu yenye uwezo wa kukaa na mchezaji kwa muda mrefu kwa sababu ya malipo mazuri, marupurupu na makombe a,mbayo kila mchezaji anataka
 
Mashabiki wa pre-season, ligi ikianza mnapotea kwenye thin-air
Nani apotee wewe! Arsenal ni kubwa hata Abramovich anajua, The third biggest club in England, below united and liverpool.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…