Timo hawez kutolewHii kombination nimekaa chini hapa nalia na karanga na Pepsi bigi[emoji23][emoji23].
Huyu malen sikwaajili ya kuziba pengo la sanchoDau la mwisho la Chelsea hili hapa
Ada kuu ni Paundi mil 150 ambayo italipwa paundi mil 130 cash na addons paundi mil 20 kama ifuatavyo:-
Nasikia mazungumzo ndio yamepamba moto na yamefika mbali sana na ndio maana BVB wameamua kumsajili Malen kama replacement
- Paundi Mil 5 Chelsea wakishinda EPL
- Paundi Mil 5 Chelsea wakishinda UCL
- Paundi mil 5 kwa idadi maalum ya michezo atakayocheza
- Paundi mil 5 kwa idadi maalum ya magoli atakayofunga
Malen ni striker na Sancho ni WingaHuyu malen sikwaajili ya kuziba pengo la sancho
Enewei ngoja tuone hali itakavyokuwa mpka sasa pako kimya hata zile top tier kw ajili ya hizi habar wako kimya, sahiv tetes zimekuwa nyingi
Kwa kitendo cha Armando broja kuongezewa mkataba na kuonekana yupo ktk mipango ya Tuchel Sioni nafasi ya Abraham kikosini km msimu uliopita alikuwa hapati nafasi....na kwakweli huyu broja niliemuona YouTube kamzidi parefu Sana Abraham ..kuanzia pace, dribbling, defensive contributionFull line-up msimu ujao
Formation 3-4-3
_______________________________________________________________________
Werner ----------- Haaland -------- Mount
Chilwell ------- Jorginho ----- Kante --------- James
Rudiger ----------- Silva ---------- Azpilicueta
Mendy
____________________________________________________________________________
Pulisic na Havertz watabadilishana na akina Werner na Mount kule mbele
Odoi inabidi azoee kucheza Wing-back abadilishane na James
Christansen atakuwa backup ya Silva ai Azpilicueta
Abraham atamshikia Haland akiumwa au majeruhi au akisepa tutamtumia Havertz kama false n0. 9
Mbona Ziyech umemsahau?Full line-up msimu ujao

Anataka akawe head coachTerry says goodbye to Villa
Terry has confirmed his departure in an official statement on Villa's website: “It has been a tremendous honour and privilege to have spent these last three years at Aston Villa, but I feel now is the right time to make the extremely difficult decision to move on.
Legend wetu anatafuta challenge mpya
Aende arsenalAnataka akawe head coach
Kweli, Ziyech ni Right WingerMbona Ziyech umemsahau?
Na pia kuna habari za Tuchel kutaka kutumia mfumo WA 4-2-4 hata kwenye game moja ya pre season walitumiaFull line-up msimu ujao
Formation 3-4-3
_______________________________________________________________________
Werner ----------- Haaland -------- Mount
Chilwell ------- Jorginho ----- Kante --------- James
Rudiger ----------- Silva ---------- Azpilicueta
Mendy
____________________________________________________________________________
Pulisic na Havertz watabadilishana na akina Werner na Mount kule mbele
Odoi inabidi azoee kucheza Wing-back abadilishane na James
Christansen atakuwa backup ya Silva ai Azpilicueta
Abraham atamshikia Haland akiumwa au majeruhi au akisepa tutamtumia Havertz kama false n0. 9
Full line-up msimu ujao

Itadepend kama tutapata striker mwingineBroja?
Abraham anaondoka
Itadepend kama tutapata striker mwingine
4-2-4 itaifanya defense iwe vulnerable kama wakati wa Lampard.Na pia kuna habari za Tuchel kutaka kutumia mfumo WA 4-2-4 hata kwenye game moja ya pre season walitumia
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mkuuu Ezekiel Mbaga kama ulikuwa unawaza nilivyokuwa nawaza mie ARSENAL NDIO KUNA MFAAA SANAAA MAANA HUKO NDIO KUNA GYM YA KUJIFU maana wao hawana na hawajui wanachokitafutaAende arsenal
Arsenal wamekubali termsMkuu hakuna cha ku depend hapo Abraham anaondoka, Broja amepandishwa timu ya wakubwa. Hiyo inamaana piga ua Halaand lazima asajiliwe ili kusaidiana na Broja.
Mkuuu Ezekiel Mbaga kama ulikuwa unawaza nilivyokuwa nawaza mie ARSENAL NDIO KUNA MFAAA SANAAA MAANA HUKO NDIO KUNA GYM YA KUJIFU maana wao hawana na hawajui wanachokitafuta