Hata mimi ningependa Ziyech abaki na akija Hakimi wangeelewana kweli kwa sababu ni Mmoroko mwenzake
Tatizo ni haendani na TT, nadhani kwenye kufuata maelekezo yake. TT ni kocha demanding kama PEP, usipofuata maelekezo yake anakutoa nje ya plan
Sasa Taarifa za ndani ya Chelsea zinadai kuwa kwa kuwa management imeridhilka na performance ya TT Zuiyech asiyefit kwenye plan zake ndie wa kuondolewa
Huwa kawaida mchezaji na Kocha wakitofautiana lazima mmoja atoke. Huwa kawaida Chelsea huwafukuza makocha wanaokosana na wachezaji na kusababisha poor performance
Safari hii ni mchezaji asiyepata na kocha ndie anatolewa kafara
Ziyech hayuko peke yake
- Giroud - ha fit kwenye mfumo
- Hakim Ziyech - hapatani na kocha
- Tammy Abraham - ha fit kwenye mfumo
- Marcos Alonso - anatakiwa sana Laliga na Serie A kwa hiyo atauzwa kwa sababu ya kuraise funds
- Emerson Palmieri - ha fit kwenye mfumo
- Ross Barkley - ha fit kwenye mfumo
- Michy Batshuayi - ha fit kwenye mfumo
- Andreas Christensen - kwa sababu ya swap deal ya Hakimi na - anabei nzuri kwenye ligi kubwa barani Ulaya kwa hiyo atauzwa kwa sababu ya kuraise funds
- Ruben Loftus-Cheek - ha fit kwenye mfumo
Thamani ya hao wachezaji
Olivier Giroud - Free
Hakim Ziyech - $40 million
Tammy Abraham $40 million
Marcos Alonso $15 million
Emerson Palmieri $15 million
Ross Barkley $25 million
Michy Batshuayi - $15 million
Andreas Christensen - $40 million
Ruben Loftus-Cheek $25million
Yah! You're right, kwenda Sokoni kufanya usajili na sio kupigwa kwani kupigwa pia kunaifanya Timu ionekane immature.
Moratta
Bakayoko
Kepa
Kai
Wewe kama hujaangalia match za chelsea hapa mwishoni utaendelea kusema Kai tumepigwa. Na endelea kuamini hivyo.Hapa ndiyo akili za hawa Watoto wanaomwagilia Bustani Shuleni zilipoishia! Najaribu kupitia mabango yenu eti "KAI AMEFUNGA FAINALI AMESHALIPA". Labda amewalipa nyinyi JF.
Munaongea hayo as If Timu nzima iliyocheza Fainali wachezaji wote waliobakia hakuna aliyenunuliwa wala anayelipwa Mshahara, wote wamekuja bure na wanacheza bure bila ya malipo isipokuwa Kai, hivyo thamani muliyoikokotoa ni ya Kai tu.
Yaani hata uchukue Fedha yote muliyopewa kwa kubeba Kombe basi haiwezi fikia Bei aliyonunuliwa Kati + Mishahara + Posho.
Endeleeni kujidanganya kwa mihemko eti kafunga goli amesharudisha wakati hata Divok Origi alifunga goli Fainali na sasahivi anatafutiwa Timu auzwe.
Usifananishe PSG na Chelsea, hayo ni matusi. Labda ufananishe na Liverpool au ArsenalAhaa! Hiyo ndiyo point uliyopaswa kuizungumza tokea awali na sio kuhusisha na Timu kubwa kwani PSG alijaribu kuteka Soko la usaji na mpaka leo haijawa Timu kubwa kwasababu tu alikuwa na uwezo wa kuingia Sokoni na akamnunua Mchezaji yoyote na ndiyo Timu pekee iliyoweza kumzuia Madrid na Barcelona kuchukua Mchezaji wake yoyote lakini wao walikuwa na uwezo wa kumchukua Mchezaji yoyote wa Timu hizo wanapomtaka.
Ukubwa haupatikani kwa Usajili isipokuwa ni Legacy! Prove me wrong.
In terms of money Mchezaji atakuja Chelsea
In terms of Legacy Mchezaji atakuja Liverpool! Thats why munaendesha mijadala na Arsenal and Man City kwasababu huwezi kukumkuta Man United au Liverpool anashinda Legacy na Chelsea.
Zoumz yule Sio bekiYaani tuuze Christesen halafu tunabaki na Zouma. Tutakuja kulilia chooni walahi.
Hivi Toka TT amekuja perfomance ya Christesen mmeichukulia poa eh?
Legacy ya Liverpool ya mwaka 47[emoji1] kabla hata EPl haijabadilishwa mfumoAhaa! Hiyo ndiyo point uliyopaswa kuizungumza tokea awali na sio kuhusisha na Timu kubwa kwani PSG alijaribu kuteka Soko la usaji na mpaka leo haijawa Timu kubwa kwasababu tu alikuwa na uwezo wa kuingia Sokoni na akamnunua Mchezaji yoyote na ndiyo Timu pekee iliyoweza kumzuia Madrid na Barcelona kuchukua Mchezaji wake yoyote lakini wao walikuwa na uwezo wa kumchukua Mchezaji yoyote wa Timu hizo wanapomtaka.
Ukubwa haupatikani kwa Usajili isipokuwa ni Legacy! Prove me wrong.
In terms of money Mchezaji atakuja Chelsea
In terms of Legacy Mchezaji atakuja Liverpool! Thats why munaendesha mijadala na Arsenal and Man City kwasababu huwezi kukumkuta Man United au Liverpool anashinda Legacy na Chelsea.
Unajua uchawi sio lazima kuroga, sasa labda kwa upande wako unafikiri wachezaji wananunuliwa ili iweje? Ukiwanunua wachezaji mkabeba makombe bado utasema umekula hasara?Hapa ndiyo akili za hawa Watoto wanaomwagilia Bustani Shuleni zilipoishia! Najaribu kupitia mabango yenu eti "KAI AMEFUNGA FAINALI AMESHALIPA". Labda amewalipa nyinyi JF.
Munaongea hayo as If Timu nzima iliyocheza Fainali wachezaji wote waliobakia hakuna aliyenunuliwa wala anayelipwa Mshahara, wote wamekuja bure na wanacheza bure bila ya malipo isipokuwa Kai, hivyo thamani muliyoikokotoa ni ya Kai tu.
Yaani hata uchukue Fedha yote muliyopewa kwa kubeba Kombe basi haiwezi fikia Bei aliyonunuliwa Kati + Mishahara + Posho.
Endeleeni kujidanganya kwa mihemko eti kafunga goli amesharudisha wakati hata Divok Origi alifunga goli Fainali na sasahivi anatafutiwa Timu auzwe.
Fan wa Liver wao wako after show game na ndio maaana mchezaji kama Havertz aliyefunga tena kwa ubunifu the only goal iliyotupa kombe kubwa kama lile wao wanamuona ni lossUnajua uchawi sio lazima kuroga, sasa labda kwa upande wako unafikiri wachezaji wananunuliwa ili iweje? Ukiwanunua wachezaji mkabeba makombe bado utasema umekula hasara?
Liver 9The champions of Europe with the most players at the Euros… that make sense![emoji28]View attachment 1818764
Noma Sana asee..tuna sambaza upendo ulaya nzima.The champions of Europe with the most players at the Euros… that make sense![emoji28]View attachment 1818764
Arsenal iko wapiThe champions of Europe with the most players at the Euros… that make sense![emoji28]View attachment 1818764
Achraf Hakimi asema anapenda kwenda PSG
Nilijua tu angefikia hivyo kwa sababu hatakuwa secure kwa kocha aliyeshindwa kuendana na Mmoroko mwenzake Ziyech Hakim
Ziyech alianza vizuri chini ya Lampard..PSG msimu ujao itakuwa ya moto sana. Suala la kocha mi sioni kama no tatizo, huyo Ziyech alifeli toka enzi za Lampard. Mi nadhani ni ameshuka kiwango yeye mwenyewe.