Sababu kuu ya jamaa kusajiliwa ni kuongeza depth squad cos Alzipicueta umri umeenda so hawezi kupata mechi nyingi kitachotokea ni james atapata nafasi kubwa kucheza back three au back four alafu hakim atacheza wingbackHili deal la achraf hakim nimepitia mitandaoni wapo wanamkubal na wapo wanaomkataa
Wanaomkataa wanasema ni mchezaj wa system mmoja yani 343 /352 na hiyo bei yake ya 68M kwa mchezaj wa system moja ni kubwa na isitoshe chelsea makocha hawakai sana, na mpaka sasa hakuna anayejua formation Tuchel ataitumia msim ujao,
Je siku tukicheza na back four je achraf hakiim ataperform kama anavyoperform kwenye anapocheza rwb
Vipi kuhusu reece james na azplicueta, sawa tunaweza sema azp umri umeenda bt still ataendelea kucheza hata kama sio mechi zote bt zipo atakazocheza
Ngoja tuone kipi kitatokea
Tukimpata achraf hakim na tukapata cb mwingine hapo tutakuw na uhakika wa kutumia either back four or back three based na opponent tunaekutana naeSababu kuu ya jamaa kusajiliwa ni kuongeza depth squad cos Alzipicueta umri umeenda so hawezi kupata mechi nyingi kitachotokea ni james atapata nafasi kubwa kucheza back three au back four alafu hakim atacheza wingback
Man u hawana pesa wana madeni wale kukuChelsea are said to be 'confident' of pulling off a big-money deal for Erling Haaland despite a slew of setbacks.
The Blues declared their intentions to land the Borussia Dortmund superstar early on despite expected competition from the likes of Manchester City, United and other big clubs across Europe.
The Blues have been clear that they need a top striker this summer and reports claim Roman Abramovich is willing to provide £150m for new signings this summer.
In a post-pandemic market, Chelsea are one of the few clubs with that spending ability, and that might be why they are said to be 'confident' of pulling off a deal this summer, or at least according to former Middlesbrough striker turned Norwegian media man Jan Aage Fjortoft, who has delivered some exciting news.
Hao wakubwa wako wanatikissa tu wowo watu umechukua UCL WE UNATAKA EPL UCHAFU NGOJA TUKUONESHE MWEZ W 8Kai anaukubwa gani na wewe ,mbona unataka kumvimbisha kichwa
[emoji23]...
Hao madogo wa chelsea sijui kai ,werner ,mount bado sana ,mpaka waoneshe ubabe pale epl wachukue PL ndio tutaanza kudiscus ukubwa wao ...
Sio kagoli kamoja tu ka kubahatisha then unataka tumpe ukubwa ....
Lakin tumuanglie sana huyu haland mbona TIMO ALIPOKUWA HUKO ALIKUWA ANAFANYA VZR SANA UJERUMANI NAHIS KWEPES KWA WAFUNGAJI
Asipoteze hizo helaErling Haalan bei yake yawekwa hadharani ni Euro mil 172
Kazi kwako Roman
Record ya Timo kabla ya kuja Chelsea ilikuwaje?
Hili deal ni gumu sana na jinsi tunavyofikiria, dortmund sidhan kama wako tayari kupoteza wachezaj wao wawili tegemeo katika dirisha mojaChelsea are said to be 'confident' of pulling off a big-money deal for Erling Haaland despite a slew of setbacks.
The Blues declared their intentions to land the Borussia Dortmund superstar early on despite expected competition from the likes of Manchester City, United and other big clubs across Europe.
The Blues have been clear that they need a top striker this summer and reports claim Roman Abramovich is willing to provide £150m for new signings this summer.
In a post-pandemic market, Chelsea are one of the few clubs with that spending ability, and that might be why they are said to be 'confident' of pulling off a deal this summer, or at least according to former Middlesbrough striker turned Norwegian media man Jan Aage Fjortoft, who has delivered some exciting news.
Ndo hvyo sajili ni kama kamari...let's hope kama tukimpata afanikiwe Tu...unaweza ukasajili waliozoea ligi yakaishia km ya torresLakin tumuanglie sana huyu haland mbona TIMO ALIPOKUWA HUKO ALIKUWA ANAFANYA VZR SANA UJERUMANI NAHIS KWEPES KWA WAFUNGAJI
EPL ndio kila kitu kenge wewe ,hao madogo waoneshe uwezo hapo ,sio kuleta mihemko kama demu mwenye nyege ...!Lakin tumuanglie sana huyu haland mbona TIMO ALIPOKUWA HUKO ALIKUWA ANAFANYA VZR SANA UJERUMANI NAHIS KWEPES KWA WAFUNGAJI
Unawashwa Malaya ww kai ana dude kule limesimama moja linakutosha akukune acha kuhemkaEPL ndio kila kitu kenge wewe ,hao madogo waoneshe uwezo hapo ,sio kuleta mihemko kama demu mwenye nyege ...!
Habari yako kenge hujambo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unawashwa Malaya ww kai ana dude kule limesimama moja linakutosha akukune acha kuhemka
We jamaa unaweweseka hatari.Timu ya kilocal kama hii ndio imusajili haaland [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dhubutuuuuuu..!
Hahahahaha we Jamaa mchimbachumvi SanaTimu ya kilocal kama hii ndio imusajili haaland [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dhubutuuuuuu..!
Nyie level zenu ni kina kai ,werner .... wachezaji wa kwenye mafungu ya nyanya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha we Jamaa mchimbachumvi Sana
Tulishswahi msajili Torres na Sheva kwa dau la kuvunja rekodi
Hela tunayo hatushindwi
Huna hadhi hata ya kuibishia Chelsea [emoji1787]