Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mashabiki wa chelsea tuweke kumbukumbu zetu vizuri, huyu ni mmoja wa mashabiki wa livakideri waliowahi kumnukuu kocha wao Kloppe kwamba kabla ya usajili inabidi utumie akili hiyo ikiwa ni neno kwenda kwa lampard kipindi kile tupo hoi.
 
Nyie timu kubwa UK mliochukua EPL, CARABAO na UCL final em mchukueni
Mshaua kipaji cha ziyech sasa mnataka mhamie kwa haaland ...

Tatizo ni kuwa haaland anatosha kwenye mfumo wa TT ,sio mnakimbilia perfomance ya dortmund na kudhani atakuja kuwapa goli 20+ epl ...

Kama mnahela bora mchukue kane ,kwanza anaijua epl ,ila haaland mtakuja kumkataa hapa jukwaani msimu ukianza .!

ila kwa jicho la mbali ,sioni mkifanikiwa kwa Haaland na kane wote kwa pamoja ..

Nyie pamabaneni na kina tammy ,giroud basi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
PEP kabla ya mechi na Chelsea
"because they have 3 central defenders closes the 2 holding midfielders rotating the pockets closes there the structure the 5 and the 2 players so so close and the distances are so close and at the same time they are so wide with the wingbacks"
 
Pep ni master ,ni vile tu alikuwa overthinking ,yaan ingekuwa darasani basi kasoma hadi madesa ya advance wakati anaingia kufanya mtihani wa necta form two ....
 
Pia tupambane na Kai Havertz wetu au siyo.?
 
Mnasema bora kucheza bila striker wkt Giroud yupo bench, Ufaransa huko anapewa nafas anacheka tu na nyavu. Amebakiza goli 4 tu awe mfungaji w muda wote ufaransa. Huku mnamdharau.
 
Haaland nimetokea kumchukia tokea alivyosema ataki kuja chelsea ni timu ndogo anatakwenda man city. Kubwa jinga lile si waachane nalo, litakuja kuflop tu.
 
Mchezaji mkubwa kama Kai Havertz unamuonaje hasa kwenye ile UCL final
Kai anaukubwa gani na wewe ,mbona unataka kumvimbisha kichwa
[emoji23]...

Hao madogo wa chelsea sijui kai ,werner ,mount bado sana ,mpaka waoneshe ubabe pale epl wachukue PL ndio tutaanza kudiscus ukubwa wao ...

Sio kagoli kamoja tu ka kubahatisha then unataka tumpe ukubwa ....
 
Mashabiki wa chelsea tuweke kumbukumbu zetu vizuri, huyu ni mmoja wa mashabiki wa livakideri waliowahi kumnukuu kocha wao Kloppe kwamba kabla ya usajili inabidi utumie akili hiyo ikiwa ni neno kwenda kwa lampard kipindi kile tupo hoi.
Wapuuzi wengi waliongea shit hata Mourihno nilimshangaa Sana ..Sasa wameona matokeo wa usajili wetu.
 
Pain killer nahisi bado una ugulia maumivi abu cheki hii haya matokeo pumbavu sana wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hii ndiyo chelsea bhana[emoji23][emoji23]

Pain killer nahisi bado una ugulia maumivi abu cheki hii haya matokeo pumbavu sana wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hii ndiyo chelsea bhana[emoji23][emoji23]

View attachment 1813018
Sisi hatuna shida ,as long as we play good football ,trophies its bonus ...

Nyie kama mnakamia makombe ni nyie ,sisi tunarelax , CL is their to stay tutachukua hata 2050...

Tunachotaka ni burudani la tiktak football from our best manager pep ...

This is our city we go ...

Tunacheza mpira kama play station
 
Mnasema bora kucheza bila striker wkt Giroud yupo bench, Ufaransa huko anapewa nafas anacheka tu na nyavu. Amebakiza goli 4 tu awe mfungaji w muda wote ufaransa. Huku mnamdharau.
[emoji3][emoji3][emoji3] Mzee angalia na wapinzani anaocheka nao nyavu ...yeye ni finisher mzuri Sawa Ila km unataka kombe la EPL huwezi mtegemea wkt wenzako unakuta wamemsajili kane

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Niliwahi kusema Giroud sio striker wa 20+ goals, ili uchukue EPL unahitaji striker wa 20+ goals, wingas wa 10+ goals plus 10+ assists na atatcking MF wa 10+ Assists
Bila hizo conditions EPL itaendelea kubaki kwa City
 
Wewe level yako ya ushabiki ni ya Simba na Yanga, iletagi hoja wala hujibu hoja.....nikelele tu kama tu. Acha watu walete taarifa na uchambuzi, utalejea badaye ligi ikianza mwezi wa nane.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…