Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,747
We ni maandazi hujui kitu, sasa chelsea adraw halafu Lecster ashindeje?Nawapa taarifa tu kuwa leo mkidraw ,then lecister akashinda na spurs basi top four mtakuwa mmeaga mapema ..
Note ,Liverpool awe ameshinda match zakee zote
Kubaki top 4 sisi hiyo ni must. Huyo Lecster hawezi kutoboa kwetu na kwa Tot. Akinusurika kwa mmoja lazima kw mwingine atapgwa.Spurs, Westham na Liverpool wakishinda mechi zao zote na Chelsea ikafungwa mechi zake zote hata Europa inakosa
God forbid
Tumekusikia shabiki wa Arsenal,lakini kamwe hatuwezi kuja uko uliko bahati mbaya sana hata futuhi hutashiriki msimu ujao, London ni blue tupu.Nawapa taarifa tu kuwa leo mkidraw ,then lecister akashinda na spurs basi top four mtakuwa mmeaga mapema ..
Note ,Liverpool awe ameshinda match zakee zote
Wewe ni mbwa tu hujui kinachoendelea kwenye football ...We ni maandazi hujui kitu, sasa chelsea adraw halafu Lecster ashindeje?
Wewe ni takataka tu nan shabiki wa arsenal ...Tumekusikia shabiki wa Arsenal,lakini kamwe hatuwezi kuja uko uliko bahati mbaya sana hata futuhi hutashiriki msimu ujao, London ni blue tupu.
We unaejua ndio mana nimekuuliza swali kinyeo wewe.Wewe ni mbwa tu hujui kinachoendelea kwenye football ...
Wewe kenge nimesema lecister game zake mbili niWe unaejua ndio mana nimekuuliza swali kinyeo wewe.
Kilaza mama yako kum. a ww.Wewe kenge nimesema lecister game zake mbili ni
Vs Chelsea
Vs spurs
Akitoka draw na Chelsea then akamfunga spurs Tayar uhakika wa top 4 ..
Mbona unakuwa kilaza
Kilaza mama yako kum. a ww.
😂😂😂😂 Nmecheka knoma, hata ingekua umenitukana mm nngebaki nachekaKilaza mama yako kum. a ww.
Sina muda wa kubishana na takataka ..!Kilaza mama yako kum. a ww.
Mbona unakaza hilo fuvu ,soma uelewe ,huko shulen mmesomea nini??
Wana CHELSEA wenzangu tubakishe maneno yasije yakatukutaHicho kikosi cha leo ndio cha ushindi sasa, leo tunampelekea moto Leicester mpaka atajuta mbwa yule
Jorginho ndio jipu hapo, ananikera na styl yake anapokua na mpira lazima anyooshe mikono yake miwili mbele then anageuka alikotoka anatoa back pass, mchezaji wa hovyo kuwahi kutokea.