Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu mimi kwa wachezaji wote wa chelsea nimekosa imani na Zuma tu🤪🤪. Kutokana na zile back basi zake.

Zuma akicheza vizuri mechi moja mechi inayofata anaharibu tena sana[emoji23][emoji23]
Inatakiwa kesho tubebe FA cup ilikusudi Man City tumpatie wakatiguuu Sana tukibeba FA NA UEFA itakua vizuri Sana
 
Naona City anahitaji sana uefa leo pep kapumnzisha wachezaji wengi mno.
 
Mkuu ebu nenda uokoe timu yako kule. Timu inataka kuchukua UEFA imerusu magoli mawili kwa New Casto kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kamsaidie Gardiola mbinu ya kupambana na chelsea
 
Atakwambia hicho sio kikosi cha kwanza

Sisi tumeshamalizana na league tayari hizo game wanacheza wastaf na wa city

Kama mnacompare hiki kikosi na uefa ,nawambia hivi mmekwishaaa tayar ...

Pep anajua anachofanya ,subili mtaiona the cityzen halisi may 2021 kudadeeeek
 
Vip tuwawekee babu scott hii uefa final [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zile mechi tulizowagonga Pep alipoteza makusudi kwa sababu anajua anacho fanya.

Nakuonea huruma unavyotapa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…