Eti westbrom na arsenal wametuexpose. Hivi unaelewa unachokiongea kweli?Kufungwa na Arsenal inabidi iwe wake up call.
Atalanta wakati wanapiga watu tano na saba walikua wanatumia formation ya mabeki 3 na Arsenal ilianza na formation hii chini ya Arteta ikaanza vizuri sana.
Kisha mechi zikaanza kupotezwa, str8 up tukajua timu inahitaji kuchange formation. At the same time Atalanta akaanza kufa na kupona.
Tuchel knows kwamba hii formation itafika sehemu itagive in as ni formation ya tournaments kuliko season long campaign, so kuna siku akajaribu 4 2 3 1 dhidi ya underdog fulani hivi, mlisuluhu ile game. Kuanzia pale akaresort na mabeki 3. Westbromwich wakamuexpose, Arsenal imemuexpose.
Tukutane msimu ujao. Nilimuambia shabiki wenu mmoja 'London laughingstock. Sooner'
Narudia na kwako wewe
London laughingstock. Sooner.
Arteta yeye si anafanya hivyo kwa ushauri wenu ndio maana yuko midtable?42774277
3 5 2 ni nzuri kwa tournaments za muda mdogo.
Kwa kampeni ndefu zinazokuhitaji uwe sehemu nyingi siyo formation reliable.
Tuchel alijaribu formation nyingine akanotice haiwezi, so next season atahama formation
Kwahiyo next season asipohama formation hii screenshot yako itabidi iwe extended coz loss zitakua ndefu pia.
Vitu vyepesi unashindwa kuvielewa.
Mbna unateseka na timu za watu kama sio kutafuta attention kwa wanaume ni nini kwani alikuambia anaunda timu isiyofungika, au kuna timu isiyofungwa.Tuchel anajua kuwapamba mashabiki wa Chelsea utasikia "Naunda timu itakayoogopwa na wote" kesho yake anapigwa 5 na Westbromwich.
Mara anasema "Hii timu ni ya kuchukua mataji" anaenda kupigwa na Arsenal isiyo stable.
Hziyech22 nilikuambia Liva ilivyokua stable ilichukua ucl, msimu uliofuata ikachukua ligi halafu msimu uliofuata ndiyo ikapigwa 7 na Villa. Thom anasema timu ipo stable ndani ya hiyo wiki anapigwa 5 na Westbromwich.
Pochettino kazi inaelekea kumshinda kule PSG mchukueni huyo.
Sijui. Ila muda wa kujua bado upo.Arteta yeye si anafanya hivyo kwa ushauri wenu ndio maana yuko midtable?
Level yako ya ujinga iko wapi? Wakati anasema hivyo wewe ulikua wapi? Chelsea wenzako wanapost hayo maneno wewe ulikua wapi?Mbna unateseka na timu za watu kama sio kutafuta attention kwa wanaume ni nini kwani alikuambia anaunda timu isiyofungika, au kuna timu isiyofungwa.
Wamekuwa wakali ghafla hahahahahaLevel yako ya ujinga iko wapi? Wakati anasema hivyo wewe ulikua wapi? Chelsea wenzako wanapost hayo maneno wewe ulikua wapi?
Kama huyu ananiuliza vitu ambavyo kocha wake kasema kama amevisemaWamekuwa wakali ghafla hahahahaha
Hiyo formation yao itawacost sana msimu unaokuja.....wao wanaishi kwenye ndoto maana kabla ya game wote wanatabiri 5 alafu sahizi wanakuwa wakali hawajibu hoja.Kama huyu ananiuliza vitu ambavyo kocha wake kasema kama amevisema
Wapi alikuambia hatafungwa akikamilisha kuunda timu? Leta evidence hapa.Mara back three sio kwa ajili ya ligi conte anamakombe mangapi na back three ? Wewe ni jobless unayetafuta story za kusogeza masaaLevel yako ya ujinga iko wapi? Wakati anasema hivyo wewe ulikua wapi? Chelsea wenzako wanapost hayo maneno wewe ulikua wapi?
We na we kweli lofa sasa kwani nimekwambia mimi siyo jobless?πWapi alikuambia hatafungwa akikamilisha kuunda timu? Leta evidence hapa.Mara back three sio kwa ajili ya ligi conte anamakombe mangapi na back three ? Wewe ni jobless unayetafuta story za kusogeza masaa
Endeleeni kujifariji, mara paa.. mnakosa kombe la UEFA na top four haumuingii[emoji28].Kwakuwa tuna fainal Jumamosi na Mendy amecheza mechi nyingi ngumu, haya matokeo hayajaniumiza sana.
Kwa hiyo magoli mengine huwa siyo error si nawe mchambuzi mhuni tu.Mbona nanyi mlipaki kwa madridBahati leo ilikuwa iko upande wenu, tofauti na kupark bus hakun chochote mlichokifanya,
Maana hata goli sio kama mmetengeneza ni error ya jorginho kurudisha kwa kipa