juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Vipi ile hoja yako ya kwenye ile thread yenu na ya huku tuamini ipi sasaGoli halina creators, goli limetokana na high pressing, Auba katoa assisst kwa Emile. Arsenal imetengeneza chansi 1 na hiyo hiyo ndiyo goli nyinyi mmetengeneza mbili zote mmemiss.
Tumebebwa na VAR. Wapi? Tangu VAR ianze kutumika Arsenal inashika nafasi ya juu kwa timu ambazo haziwi favored na VAR.
So siyo offside?
Tulipark bus. Yea. Kupaki basi ni game plan pia. Ambayo uingereza aliyeanza kuitumia ni chelsea.
Kuhusu kusema nyinyi na united ni vibonde vyetu hilo nalisema kila siku so unavyosema tuna bahati siyo kweli ila nyinyi ni vibonde kwetu.
Kosa la msingi 75% ni Zouma, anafuatia mjinga Kepa kwa 20% kaacha goli bila sababu yeyote na kidogo simlaumu sana Jo katoa pasi bila kuangalia goli kachangia 5% ya mistakeGame bado haijaisha mzee
Wanapewa nafasi wanafanya fyongo ila lakini ile mistake huwezi kumlaumu kepa jorginho ndio kafanya upuuzi ule
Halafu hizo point sita hazitawasaidia hata kushiriki mashindani ya mbuziTumechukua points Sita kutoka kwa hao mbuzi
Nimekwambia nilichokujibu nimejibu kutokana na wewe kufocus na shomboVipi ile hoja yako ya kwenye ile thread yenu na ya huku tuamini ipi sasa
Maana ni sawa na shabiki anayetaka kocha wa tim yake afukuzwe kwa matokeo mabaya siku akishinda anataka tena aendelee kuwepo,
Yani sijui kwanini huwa linakariri kurudusha mpira nyuma tu bila hata kuuyoa nje inapobidi?Sasa wew kwa akili yako pale uliona Zouma alikosa wa kumpigia mpira? Ni ujinga wake tu wa kupenda kurudisha mpira nyuma
Ni time yako ya kuongea. Tumekuwekea kikosi B bado kimekunyanyasa. Umeangalia mpira dakika 90 huku umebana kende.Hata nyinyi city, atletico na porto mliwafunga kwa bahati tu. Kikosi chenu ni dhaifu hakina uwezo wowote ule.
Acha ajifariji. Jmosi tunampelekea moto Leicester tunabeba kombe.Naona unamuumbua anajitoa ufahamu na Hilo kauli yake kwenye thread yao
Mara ya kwanza mliweka kikosi A mkafa ngapi vile?Ni time yako ya kuongea. Tumekuwekea kikosi B bado kimekunyanyasa. Umeangalia mpira dakika 90 huku umebana kende.
We jichekeshe tu. Hivi jana mpo serious kabisa mnajisifia mmeifunga chelsea?Mara ya kwanza mliweka kikosi A mkafa ngapi vile?
Kabadilisha gia anganiAcha unafiki.
Umetoka kuiita timu ya mauaji hata nusu saa haijaisha
Sisi hatuwezi kujisifia tukiifunga chelsea au united. Kwani we hujui kama chelsea na united ni vibonde vya Arsenal?We jichekeshe tu. Hivi jana mpo serious kabisa mnajisifia mmeifunga chelsea?
Hey Fella, Halafu mnasema arsenal ni timu kubwa?
Haya tumekupa point 6 zimekusaidia nn?Sisi hatuwezi kujisifia tukiifunga chelsea au united. Kwani we hujui kama chelsea na united ni vibonde vya Arsenal?
man u na chelsea wana finals. isitoshe wapo top 4. arsenal iko wapi?Sisi hatuwezi kujisifia tukiifunga chelsea au united. Kwani we hujui kama chelsea na united ni vibonde vya Arsenal?
Wamefunga vibabu vya madrid wanapiga keleleHata nyinyi city, atletico na porto mliwafunga kwa bahati tu. Kikosi chenu ni dhaifu hakina uwezo wowote ule.
Mmetugea points 3 tu.Haya tumekupa point 6 zimekusaidia nn?
Hehehe ila nyinyi mnachekesha.man u na chelsea wana finals. isitoshe wapo top 4. arsenal iko wapi?
Sasa yale nayo ni makombe?Hehehe ila nyinyi mnachekesha.
Arsenal hatuna mpango na makombe yale tuliyoyapata msimu uliopita kipindi nyinyi mnacheza tokomile yalikua hayana maana yoyote kwetu.
Sisi mafanikio yetu ni kuwapiga chelsea na united tu.
Yale siyo makombe.Sasa yale nayo ni makombe?
Hii timu aiseeee ni matakataka.
Bora umejua.Yale siyo makombe.
Ni mawe ya Mwanza.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kufungwa na Arsenal inabidi iwe wake up call.Bora umejua.