NEXT SEASON LINE UP
-------------------------------------Kane/Havertz-------------------------------------
Werner/Pulisic------------------------------------------------------------ Mount/Ziyech
Chilwell/Alonso------------- Kovacic/Billy----------------- Kante/Jorginho ----------------- James/Odoi
Rudiger/Zouma -------------------- Silva ------------------------Christensen/Azpilicueta
Mendy/Kepa
KDB[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Robben na Bayern yake [emoji1787]
Hazard na Madrid
City wanaye Nathan ake wajichanganye wampange[emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Lateeeeeee hao mashika manatiiiiTimu ya mauaji leo
Werner werner na katikati
hizo mechi sio ya kuwapa akina Kepa
Inaweza wapa nguvu hao washika manatiView attachment 1782506
Tumewaleta Sasa[emoji28].Lateeeeeee hao mashika manatiiii
Acha unafiki.Zouma, Kepa lazima tufungwe, still careless players
Mbuzi wote wa humu kimya
Game bado haijaisha mzeeAcha matusi
Wanapewa nafasi wanafanya fyongo ila lakini ile mistake huwezi kumlaumu kepa jorginho ndio kafanya upuuzi uleZuma, Jojinyo na kepa wameshatuchoma.
But cha tatizo ni Zuma
Ni una hasira ndiyo maana unasahau herufi zingine?Zuma, Jojinyo na kepa wameshatuchoma.
But cha tatizo ni Zuma
Sasa anamtukana KaiGame bado haijaisha mzee
Wanapewa nafasi wanafanya fyongo ila lakini ile mistake huwezi kumlaumu kepa jorginho ndio kafanya upuuzi ule