Aisee, hao jamaa wote ni pasua kichwa kwenye Theories na formula zaoTuchel katika maisha yake amesoma zaidi ya nyaraka 1000 zinazohusu hesabu na fizikia zilizoandikwa na watu wafuatao:-
[emoji117] Albert Einstein
[emoji117] Isaac Newton
[emoji117] Pythagoras
[emoji117] Archimedes
[emoji117] Carl Gauss
Tukutane Ataturk Olympics Stadium. Shubaaaaamit zake kipara
View attachment 1776190
Hawana uwezo huo ,hizo pesa wataishia kuziona kwenye makaratasi tu ..Kama ulikuwa hujui nakujuza kwamba wachezaji wa Chelsea kuweka kipindoni Pound 11m zawadi kama watanyakua Makombe yote mawili - UEFA na FA Cup .
Pound 11m ni sawa na Tshs Bil 35.5.
Nini maoni yako mpenzi wa soka la kibongo? Simba nao kama watanyakua makombe yote yaani FA, Ligi na CUF - Je watalamba ngapi?
Yanga nao walimchapa Simba hapo kesho wameahidiwa ngapi ati
Huna ujualo kaa kimya kiazi ww [emoji23][emoji23]Line up na Chelsea inaweza ikawa hivi kwenye formation ya 3-4-2-1
Havertz
Pulisic ---------------------------------------------------- Ziyech
Alonso -----------------------Jorginho ----------------------Kante ---------------------James
Rudiger -------------------Silva ----------------------------Christensen
Mendy
Kaa kimya unaleta pumba zako hapaKama ulikuwa hujui nakujuza kwamba wachezaji wa Chelsea kuweka kipindoni Pound 11m zawadi kama watanyakua Makombe yote mawili - UEFA na FA Cup .
Pound 11m ni sawa na Tshs Bil 35.5.
Nini maoni yako mpenzi wa soka la kibongo? Simba nao kama watanyakua makombe yote yaani FA, Ligi na CUF - Je watalamba ngapi?
Yanga nao walimchapa Simba hapo kesho wameahidiwa ngapi ati
Huu ulikuwa moto nimeona jinsi Thiago alivyoukwepa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]We Mong'ii wa Arusha, Kante anaweza kudaka lile shuti la benzema? Wakina Thiago walilikwepa. View attachment 1775618
Yeah Kati ya hizo 5 naamini 4 lazima tubebe[emoji23][emoji23][emoji23]Msimu uliopita tulikosa makombe mawili FA na Supercup mbele ya looserfool na wale Arse8 ..
Huu ni wakati wa kuyarudisha hayo makombe maana ilikuwa ni Khalali yetu kabisa.
Baada kutangazwa kuwa mabingwa wa UEFA ..tunategemea kubeba na Supercup, baadae Community Shield, Kisha Klabu Bingwa hehehe Mungu atupe nini Tena waungwana..huu ni wakati wetu wa kula maisha ..gooo Tuchel piga mama yeyote inayokatiza mbele yetu..
Tunategemea kubeba makombe sio chini ya matano Kama Tuchel akichanga karata zake vizuri..
Mpaka sasa tuna uhakika na FA na UEFA ..baadae kidogo tuna Supercup, Community Shield na Klabu Bingwa.
Hehehehe
This is Chelsea.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Pumba zipi mkuu....kama hujui kinachoendelea kwemye soka kaa kimya.. ni ustaarabu pia...hutachekwa!!Kaa kimya unaleta pumba zako hapa
Ninachopendea Chelsea ni kitu kimoja tu. Anapocheza nje ya uwanja wake na ni Fainali [emoji23][emoji23][emoji23]..........kwakweli Kipara ajiandae ipasavyoTuchel katika maisha yake amesoma zaidi ya nyaraka 1000 zinazohusu hesabu na fizikia zilizoandikwa na watu wafuatao:-
[emoji117] Albert Einstein
[emoji117] Isaac Newton
[emoji117] Pythagoras
[emoji117] Archimedes
[emoji117] Carl Gauss
Tukutane Ataturk Olympics Stadium. Shubaaaaamit zake kipara
View attachment 1776190
Mkuu we Tulia kesho tunaanza First Leg[emoji23][emoji23][emoji23]Siku zote ukiona mbwa anabweka sana ujue hana kitu ..
Silent killer ze cityzen ..
Tutawaonyesha mpira was kitabuni unavochezwa ..
Usimwite huyo mkuu, ni mvuta bangi tu na hastahili hata kumjibuPumba zipi mkuu....kama hujui kinachoendelea kwemye soka kaa kimya.. ni ustaarabu pia...hutachekwa!!