| Mount | Lampard |
| Games: | 100 | 100 |
| Starts: | 83 | 94 |
| Sub appearances: | 17 | 6 |
| Goals: | 16 | 15 |
| Assists: | 13 | 7 |
| Penalties scored: | 1 | 0 |
| Minutes per goal: | 461.1 | 568 |
| Minutes per non-penalty goal: | 491.8 | 568 |
| Minutes per goal or assist: | 254.4 | 387.2 |
Kama atakuwepo ktk game yetu na Man City itakua vzr zaidi ili tuwakimbize kweli kweli.Kesho kovacic hatokuwepo
.
Game ya kesho ni ngumu sana, watu tunaichukulia rahisi ila ni game ngumu sana, tunaweza kuwa na advantage ila naona hii game bado iko 50/50
Yote kwa yote naimani tutashinda kitu kikubwa ni kuanza kuwafunga na tusikubali kutanguliwa

Tuombe Mungu Confidence ya wachezaji iendelee, form ikishuka tutakuwa kwenye hali ngumu sanaKesho kovacic hatokuwepo
.
Game ya kesho ni ngumu sana, watu tunaichukulia rahisi ila ni game ngumu sana, tunaweza kuwa na advantage ila naona hii game bado iko 50/50
Yote kwa yote naimani tutashinda kitu kikubwa ni kuanza kuwafunga na tusikubali kutanguliwa
Naam game ni ngumu sn hii yaani ata Zidane kesho anakuja akiwa na hasira. Na watacheza open game kwa nguvu ili wapate goli na wakipata goli tu watajilinda mpk mpira uishe.Tuombe Mungu Confidence ya wachezaji iendelee, form ikishuka tutakuwa kwenye hali ngumu sana
Yeah naona hata hii mechi wameipania ukiangalia hata wale wachezaj waliotoka majeruhi n waliokuwa wanaumwa wote wamejumuishwaNaam game ni ngumu sn hii yaani ata Zidane kesho anakuja akiwa na hasira. Na watacheza open game kwa nguvu ili wapate goli na wakipata goli tu watajilinda mpk mpira uishe.
Tena km Ramos ndio kapania sn. Yaani hapa sisi tungekua na Kovacic mzima ningekua na utulivu sn wa akiliYeah naona hata hii mechi wameipania ukiangalia hata wale wachezaj waliotoka majeruhi n waliokuwa wanaumwa wote wamejumuishwa
Kesho tunahitaji kuwa makini kwa dakika zote 90
Umeandika pumba tupu, Madrid ni utopolo tu,ilikua tuwapige nje/ndani wamshukuru wernerKuna muda najiuliza hivi hawa Chelsea wanavimba kuwa wameshafuzu uefa ,unabaki unacheka tu..
Aggregate 1-1
Wanayecheza nae ,katulia tu ,real Madrid ..
Hizi takataka ni kila kona kuimba wameshafuza ,huyu Madrid akiwafunga goli moja ,tayari Hamna chenu ,sasa unabaki unajiuliza hawa kenge wanajivunia nini hasa .?
Aisee
Tena km Ramos ndio kapania sn. Yaani hapa sisi tungekua na Kovacic mzima ningekua na utulivu sn wa akili
Umeandika pumba tupu, Madrid ni utopolo tu,ilikua tuwapige nje/ndani wamshukuru werner
Kante, Pulisic na Tammy wako injury
Kante ni wa muhimu keshokutwa
Hii message ni ya Tarehe 5 April 2021 sijui wewe umeiokota wapi?Cova ndo majeruhi bro
Dk ya 80++ hawana hata on target mojaKweli PSG hawana tofauti na wamasai na usithubutu kamwe kuwapa dhamana wanaweza wakakuachia shuka.
Magoli gani yale wanayofungwa hadi unajiuliza alimfungaje Bayern Munich kwa ubovu wa ukuta wao huu???
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
ManCity kapita tayari...Final: Chelsea vs ManCity
Ubashiri tu ambao unaweza usitokee. Nisipigwe mawe tafadhali!