Hapa tunaongelea Giroud wa Chelsea, achana alivyokua kwa hao wendawazimu na yeye lazima alikua mwendawazimu. Halafu kazi ya Giroud ni kufunga au kukaba? Tuseme sasa Mendy ni mchezaji mbaya kwa kuwa hafungi.Huyo Giroud alikuwa anatengenezewanafasi nyingi tu pale Arsenal, final assist passes 10 anaweka goli 1 na kibaya zaidi hajui kukaba na hataki hata kukaba. Akiingiaga tu huyo Giroud huwa nahesabu timu ya Chelsea inacheza pungufu/wachezaji 10 badala ya 11.
PSG Leo atajuta kuingia uwanjan ..
Tunaenda kuwapelekea moto huko huko Paris ..!
Leo PSG na Man City Neymar alirudi nyuma kukaba, je alikosea, au au sahihi wakati mwingine Striker kukaba ikizidiwa timu yake?Hapa tunaongelea Giroud wa Chelsea, achana alivyokua kwa hao wendawazimu na yeye lazima alikua mwendawazimu. Halafu kazi ya Giroud ni kufunga au kukaba? Tuseme sasa Mendy ni mchezaji mbaya kwa kuwa hafungi.
Kwa hiyo Giroud timu ikizidiwa harudigi kbs kukaba???Leo PSG na Man City Neymar alirudi nyuma kukaba, je alikosea, au au sahihi wakati mwingine Striker kukaba ikizidiwa timu yake?
Hana jipya huyo nj bora uwe na akina Werner 100 kuliko Giroud mmojaKwa hiyo Giroud timu ikizidiwa harudigi kbs kukaba???
Mat***o kweli ww***** zako, unadhani kila timu ni kama crystal palace epl ..kwamba mtajipigia tu..fools
Achana na 100, huyo wener wako mmoja tu ndio atatukosesha ubingwa kwa upuuzi wake wa kukosa magoli.Hana jipya huyo nj bora uwe na akina Werner 100 kuliko Giroud mmoja
Mkuu Mimi nilisema level zetu ni buyern tu hao PSG wamejileta wenyewe wacha tuwape kinachositahili..Pain Killer popote ulipo nakupa Ongera kubwa. Mmecheza soka kubwa mno. Mbape na Neymaa hawakuwa na Chao. Ongereni sana. Soka la uingereza linazidi kudhiirisha ubora wake katika ulimwengu wa Soka
Pole sana mkuu ..***** zako, unadhani kila timu ni kama crystal palace epl ..kwamba mtajipigia tu..fools
Hatutakiwi kumuuza Fikayo Tomori ata kidogo. Maana Azpilicueta na Silver hawa wameshazeeka. Mwakani watakuwa wanacheza game za FA na za EPL zilizo rahisi...Beki wa kati wa Chelsea Fikayo Tomori, 23, amekutana na mkurugenzi wa klabu ya AC Milan Paolo Maldini. Milan wanataka kumsajili moja kwa moja mchezaji huyo ambaye sasa anaichezea klabu hiyo kwa mkopo. (Sky Sport - in Italian)
Mpira wa Conte na Tuchel haipishani sana.Hivi ikatokea kweli LUKAKU akarudi THE BLUES atashine chini ya mifumo na mbinu za TT?
Hawezi kuwa next Batshuayi?
Kwanini LUKAKU na sio KANE? View attachment 1767235
Yaani sisi tunamuhutaji sn Mbape kwa mpira wetu huo wa counter na wa kasi. Ni Mbape tu au strike ya Borusia Dortmund basi. Wengine hawatufai na watakuwa mizigo tu.Mpira wa Conte na Tuchel haipishani sana.
Ndio maana Conte alitaka kumsajili lukaku wakati yupo chelsea. And sidhani kama Lukaku angekuwa Flop.
Hata sasa Lukaku akija chelsea anaweza kushine kwa kocha huyu.
Shida ni kama Lukaku mwenyewe atakubali kurudi au lah.
Levy ni mgumu sana kutuuzia kaneHivi ikatokea kweli LUKAKU akarudi THE BLUES atashine chini ya mifumo na mbinu za TT?
Hawezi kuwa next Batshuayi?
Kwanini LUKAKU na sio KANE? View attachment 1767235
Ngoja tuone tuchel atapangaje ikifika hiyo sikuMateo Kovacic atakua fiti kuivaa Fulham next Saturday. Na atakuwa fiti pia kuivaa Madrid siku ya j5.
Patamu sn hapo maana tulikuwa tumekosa mtu wa kukokota mipira. Sasa Kante na Kovacic wakianza Madrid wataimba taarabu siku hiyo...
Jorginho amechoka. Uchovu unamsumbua sn jumamosi na Fulham anatakiwa kupumzishwa. Ili aweze kucheza vzr na MadridNgoja tuone tuchel atapangaje ikifika hiyo siku
Joji game iliyopita alicheza vizuri
Hichi kiroba chanini, kinaweza kukumbia kweli?? Tutakula hasara tu hapa.Hivi ikatokea kweli LUKAKU akarudi THE BLUES atashine chini ya mifumo na mbinu za TT?
Hawezi kuwa next Batshuayi?
Kwanini LUKAKU na sio KANE? View attachment 1767235