Antonio Conte
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 1,089
- 1,748
Ila Kante kawa mtamu ni balaa. Yaani Kante kwasbbu anao uwezo wa kukimbia sn basi anamuacha Jorginho chini yeye anatembea kila mahali... Kante ni kiboko jana kawasumbua sn Madrid. Kante na Pulisic hawa watu ni hatari snNgoja niangalie kama Kovacic atakuwepo...
Round ya Pili Madrid wanakuja kuvunja hilo daraja LA hapo London na ndio mwisho wenu ..hakikisha unainama ukivua
Ndio unakurupuka saizi [emoji23][emoji23][emoji23]Oyaaa imekuwaje hatujamlala Madirid bao tatu?
Chelsea hii wachezaji ambao ni hatari ni Kante na Pullisic na hili nimelisema muda mrefu.Ngoja niangalie kama Kovacic atakuwepo...
Kasi ya Timo ni nzuri na ina faida kama kuna mtu kama Giroud au Tammy wa kuzamisha wavuni. .
Dah sijajua mzee maana nilikua offline..Ndio unakurupuka saizi [emoji23][emoji23][emoji23]
Kante ni wachezaji wote wa Arse8 na benchi lote la ufundi..Chelsea hii wachezaji ambao ni hatari ni Kante na Pullisic na hili nimelisema muda mrefu.
Ila Kante naona kawaringishia Madrid uwezo wake wajute kumkosa.
Acha uzwazwa majeruhi ni nani na nani ambao wangeleta ushindi acha kua bumundaMadrid yenye majeruhi mmeshindwa kuipiga.
Imecheza 3 5 2 formation ngeni kwao dhidi ya timu ambayo mara zote imetumia huo mfumo. Matokeo yake ni kuzidiwa possession, mashuti jumla ni 12 kwa 9 if anything chelsea mmekaba vizuri.
Next game itakua all out war hatojali juu ya majeruhi ni 4 3 3 holding tu. West Bromwich managed to score 5 goals Madrid atawafikiria.
Pulisic na Werner hawapaswi kuanza pamoja kwa maoni yangu. Wana uchezaji unaofanana japo kasi zinatofautiana! Mount hana mpinzani kwa sasa!Kasi ya werner inahitajika, je nani aanzie nje kati ya wale watatu
Mount,pulisic na werner
Kwa forward gan??Njoon muone Leo bingwa anavyompelekea moto PSG ..
Camoon the cityzen
Arsenal haina mpango wa kutoka nafasi ya 10 acha ramli chonganishi. Kwahiyo umekasirika mimi kusema ukweli?
Mpira wa counter hauhitaji striker wa aina ya Giroud au Abraham.Yote uliyotaja hakuna Sifa hata MOJA ya Striker.. Kazi ya striker ni moja tu kutumia nafasi Kufunga magoli.. na akishindwa kufunga yeye awe ametoa pasi ya mwisho kwa mtu mwenzake kufunga..kama Werner ndo Bora kuzidi Walioko benchi basi Kubali Chelsea tuna Tatizo kubwa na hatuna striker.. sababu Werner Hafai na hana sina.. striker hawezi pata Nafasi3 za wazi akakosa Goli hata 1..
Wengi naona hawalioni hili.Ujue wakina tammy n giroud wanawekwa bench kwa sababu hawa ni watu wanaotaka kutafuniwa ndio maana ukiangalia mechi nying tulizocheza na giroud or tammya huwa atutengenezi nafas za kufunga sana tunakalia cross tu ni tofauti na anapokuwa werner anaweza kuwa anakosa goals ila uwepo wake unatupa advantage kwenye kutengeneza nafasi za kufunga kwa sababu ya ile speed yake
hakikisha unainama ukivua
Hili nakubaliana na ww. Tuna shida ya Striker.Yote uliyotaja hakuna Sifa hata MOJA ya Striker.. Kazi ya striker ni moja tu kutumia nafasi Kufunga magoli.. na akishindwa kufunga yeye awe ametoa pasi ya mwisho kwa mtu mwenzake kufunga..kama Werner ndo Bora kuzidi Walioko benchi basi Kubali Chelsea tuna Tatizo kubwa na hatuna striker.. sababu Werner Hafai na hana sina.. striker hawezi pata Nafasi3 za wazi akakosa Goli hata 1..
Madrid kipindi cha kwanza walikuwa wanacheza hovyo tu. Wakapigwa na kukoswa magoli km matatu hivi then kipindi cha pili wakaona wapaki bus wawe wanavizia counter attacks tu... Badae wakaona isiwe tabu wakaachana na mfumo wa 3+5+2 wakarudi 4+3+3.
Hakuna cha kina Modric wala Kroos.
Na jana hawa kina Kroos na Modric walipotea kabisa.