Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Je game zetu za kesho je nazo zimefutwa?
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hii hatari sana
 
Mchezo wa leo baina ya Leicester city na Southampton ni mbovu mbovu kwenda mbele. Kwenye fainal Leicester city wakicheza kama walivyocheza leo tunabeba kombe asubuhi na mapema

Ninachoamini Leicester tunaenda kumfunga hata awe kwenye form kiasi gani.

Ingawa ametufunga mara mbili msimu huu lakini kwenye fainal aesabu maumivu. Kaptain Azipilikueta na Thiago Silva hawawezi kubali ujinga huo[emoji23][emoji23][emoji23]
Kufungwa mara tatu ndani ya msimu mmoja no the Big noooo🤪🤪
 
Nyie mbwa tutakutana epl ..

Narudia tena haijaisha ,tunakutana epl ,na ndio tiketi ya kutoka top four ...

Tuanenda kuwatoa top four...

Mnagame na

Westham

Man city

Arsenal

Lecister city

Aston villa


Kudadek hamchomoki walahiiiii
 
Jamani mbona hamcoment chochote kuhusu MOU kufukuzwa au ndio damu ya undugu na Chelsea umeshaexpire?
 
Jamani mbona hamcoment chochote kuhusu MOU kufukuzwa au ndio damu ya undugu na Chelsea umeshaexpire?
Lilikuwa suala la muda tu Mourinho atafukuzwa kutokana na matokeo mabaya alikuwa anayapata na dalili zingine ni kupoteza game nyingi against big teams ndio maana hakuna hata mmoja ambaye ameshangaa.
 

"I'm always in football!"​

​

Hayo ni maneno ya MOU baada ya kuulizwa swali na SkySports kama atarudi kwenye football?​

 
Kosa kubwa alilofanya MOU ni kukubali kwenda kuifundisha timu isiyoweza kuingia sokoni. Mimi nilitegemea haya yatatokea kwa sababu MOU ana wachezaji wake asipowapata hatapata matokeo
Spurs walishindwa kumsajilia ma CB anaowataka na wachezaji wa kiunga wakabaji hata viungo washambuliaji hawana. Kane na Son wamekuwa wakicheza mara nyingi kama viungo ili kujitengenezea nafasi
Poor Spurs, sasa watakuwa mid table team wasipoajiri kocha mzuri zaidi
 
Ikiwa uefa wakafanikiwa, super leagu sidhan kama itaweza tokea labda washindwane kwenye makubaliano
 
Kwa hiyo sasa kutakua na Super ligi na UEFA na UROPA?
Worry yangu ni kuwa hizi timu kubwa kwa muda mrefu walitaka UEFA wabadilike ili timu hizo ziwe na manufaa zaidi na hayo mashindani lakini hawakusikilizwa, sasa supa league imeanzishwa kama kuwakomoa UEFA
 
Halafu sijaelewa kwa nini fans wako agaist hiyo super ligi, mana kama London mashabiki wa Chelsea wameandamana kabisa.
Hata me nimeiona kwenye mtandao Chelsea fans wameanzisha hashtags za no Europe super league
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…