Mkuu line up zako unaziokotaga wapi? Delete hiyo app yako
Hii ndio line up ya leo. View attachment 1730939
Wing-back wa kushoto na Odoi Wing-back wa kulia, Chilwell leo anacheza kama CB wa kushotoNimeshindwa kujua emerson hapo anacheza no ngapi?
Supper sport wameonyesha kuwa Emerson ndie anayecheza CB wa kushoto na Chillwell Wing-back wa kushoto sasa nadhani Suppersport ndio wako correct kwa sababu wanapokea direct kutoka uwanjaniWing-back wa kushoto na Odoi Wing-back wa kulia, Chilwell leo anacheza kama CB wa kushoto
Yes mkuu.Supper sport wameonyesha kuwa Emerson ndie anayecheza CB wa kushoto na Chillwell Wing-back wa kushoto sasa nadhani Suppersport ndio wako correct kwa sababu wanapokea direct kutoka uwanjani
Kwamba mkuuu yanazagaaa haha sie tunabeba yoteYes mkuu.
Ila huyu Thomas Tuchel no kocha mzuri sn Chelsea hatujawahi kupata. Nimekuwa namuelewa sn kwa kila kitu na moja ya kitu ninachompongeza huyu kocha ni kuweza kuwapa nafasi wachezaji wote ya kucheza.
Alafu ana mbinu Fulani kwa kutegemea uwezo wa wachezaji.
Mafano Leo ako na mfumo was 3+4+3 lkn hii ni km 4+3+3 maana anatumia uwezo was Christiansen kucheza kulia anakava mpk beki ya kulia ya pembeni. Kwahiyo Odoi muda wote anashambulia tu.
Wakati huo Emerson anaweza kucheza km cb wa kati upande wa kushoto na anacheza pia beki wa kushoto wa pembeni km Ben Chilwell kapanda mbele sn.
Kwa maana hiyo basi km tunashambuliwa sn ndio utamuona Ben anarudi ktk nafasi yake na Odoi na hawa cb watatu wanarudi kati wote
Lkn Tuchel ni bomba la kocha na atatupeleka mbali sn kwa hiki kikosi kipana tulicho nacho.
Jambo jingine naona Pulisic anachezewa sn rafu yaani kila akigusa mpira wanamla
Kwa namna tulivyo na njaa namna hii makombe haya yanayo zagaa zagaa mbele yetu la FA na UEFA tunayabeba yote
Nimefuatilia Chilwell na Emerson, Chillwell akienda mbele, Emerson anabaki kukaba kama CB na Emerson akienda mbele, Chillwell anabaki kukaba kama CB ni kama wote wanacheza Wing-back kwa pamoja. Odoi yeye muda wote yuko mbele kama wingaYes mkuu.
Ila huyu Thomas Tuchel no kocha mzuri sn Chelsea hatujawahi kupata. Nimekuwa namuelewa sn kwa kila kitu na moja ya kitu ninachompongeza huyu kocha ni kuweza kuwapa nafasi wachezaji wote ya kucheza.
Alafu ana mbinu Fulani kwa kutegemea uwezo wa wachezaji.
Mafano Leo ako na mfumo was 3+4+3 lkn hii ni km 4+3+3 maana anatumia uwezo was Christiansen kucheza kulia anakava mpk beki ya kulia ya pembeni. Kwahiyo Odoi muda wote anashambulia tu.
Wakati huo Emerson anaweza kucheza km cb wa kati upande wa kushoto na anacheza pia beki wa kushoto wa pembeni km Ben Chilwell kapanda mbele sn.
Kwa maana hiyo basi km tunashambuliwa sn ndio utamuona Ben anarudi ktk nafasi yake na Odoi na hawa cb watatu wanarudi kati wote
Lkn Tuchel ni bomba la kocha na atatupeleka mbali sn kwa hiki kikosi kipana tulicho nacho.
Jambo jingine naona Pulisic anachezewa sn rafu yaani kila akigusa mpira wanamla
Kwa namna tulivyo na njaa namna hii makombe haya yanayo zagaa zagaa mbele yetu la FA na UEFA tunayabeba yote
Wanakufa mingi tuu hao mkuuu kuku wetu waleMm nnayefatilia h mechi kwenye livescores naona shot on target ni moja tuu, vp vijana wanazngua au tumebanwa.?
Yaani kuyabeba ni lazimaKwamba mkuuu yanazagaaa haha sie tunabeba yote
Je wanahesabu au hawajui kusoma tumeruhusu goal 2 hatar sanaFT Chelsea 2 Sheffield United 0
Chelsea wanaingia kwenye nusu fainali ya FA mara ya nne katika misimu mitano iliyopita
Mechi ya 14 unbeaten
Mechi ya 14 na clean sheet 12
Mechi ya 14 na magoli 2 tu ya kufungwa
Kuna jamaa walichoka sana, akiwemo Odoi, Kovacic, Gilmour, Christensen. Giroud yeye hakuwa hata anacheza, hakupata huduma na wala hakujitahidi kuitafuta huduma na ndio tofauti ya Giroud na akina Werner na Haverts wakicheza na. 9FT. Chelsea2-0 Ila jamaa mwishoni wametusaka
Tumetisha sn