Arudi bado nafasi yake naiyona naona Pulisic siku hiz karelax sanaEden Hazard anatamani kurudi nyumbani kemonoga. Je tumsajili arudi?
Pulisic ni bonge la mchezaji ila naona kama kocha anampotezea hivi. Siku akipewa nafasi Wener ndio bai bai.Arudi bado nafasi yake naiyona naona Pulisic siku hiz karelax sana
Sijajua unachuki na chelsea kiasi hichi.Mi ninachotaka mfungwe tu na manyumbu. Nothing personal ni mkeka
Siyo chuki baba ni mkeka.Sijajua unachuki na chelsea kiasi hichi.
Pulisic injury zimemfanya ashuke kiwango na wala si kupotezwaPulisic ni bonge la mchezaji ila naona kama kocha anampotezea hivi. Siku akipewa nafasi Wener ndio bai bai.
Pulisic majeraha yalimrudisha nyuma. Kocha lazima atakuwa ana mazoezi nae ya kurudisha form yake kama alivyofanya kwa Werner na anavyofanya kwa Havertz.Pulisic ni bonge la mchezaji ila naona kama kocha anampotezea hivi. Siku akipewa nafasi Wener ndio bai bai.
Keep dreaming 🤣🤣🤣Mi ninachotaka mfungwe tu na manyumbu. Nothing personal ni mkeka
Ushachanika hivyoo!Siyo chuki baba ni mkeka.
Wewe ni takataka tutolee upumbavu hapa na utachanika huo mkeka wako.Mi ninachotaka mfungwe tu na manyumbu. Nothing personal ni mkeka
Hiyo hela ya mkeka bora ungenunua tu kitu cha maana, ushachanika huo.Siyo chuki baba ni mkeka.
Utaacha matusi?Aiseee mkinipigia huyu shetani mwekundu ....
Weekend itakuwa imeenda vizuri sanaaaa..
Maliza kubleed ndiyo uje kuquote wanaumeWewe ni takataka tutolee upumbavu hapa na utachanika huo mkeka wako.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Aaah weeeh huwajui united wakiwa wanataka sifaUshachanika hivyoo!
Huo mkeka badilisha bado unao muda usije ukajutaMi ninachotaka mfungwe tu na manyumbu. Nothing personal ni mkeka