Hakuna goli la kupewa hapo boss. Ni juhudi za Werner na asingemkwatua very likely lingekuwa goli. Kweli bado tuko nafasi jirani ila sisi ni mgonjwa aliyeruhusiwa wakati ninyi bado mko kwenye matazamio. Manyuu pale juu watashuka tu. Majogoo wakiendelea kutengenezwa supu nao tunawaacha. Hapo ni Man City tu ndio wanatishia amani.
Wahenga walikuwa wanangoja chini. Dotcom era wanakupandia huko huko. Twaja tutapishana mkiwa mnashuka...Alie juu mngoje chini, umesahau huo msemo?
Kwahiyo we endelea kutungoja hapo hapo.
Katika bao tisa bruno anafunga moja tu la penati hapo kuna uwalakini..[emoji848][emoji848][emoji848]Kumbe penalt inaruhusiwa, sio?
Sasa siku Fernandez akifanya yake sitaki kusikia kelele.
Halafu unakuta mtu anakuja juu anakwambia Lampard alikua anambeba Mount.
Yan sub hakuna beki wa kati alobaki
Usishangae Odoi au Kante wakicheza CB safari hiiYan sub hakuna beki wa kati alobaki
Hakuna kitu hapo panga hivyo tunyolewe
Tunahitaji kocha tu mwenye DNA na Makombe maana mrusi sio bahiliChelsea fc bado tuna safari ndefu ya kufikia ubora wa City.
Kuchukua ubingwa mbele ya city na Liverpool labda kipara na Klopp wahame EPL.
Tuchel akiendelea kumuamini Mason Mount kwenye nafasi ya CAM atafunga magoli mengi na kutoa assists za kutosha. Havertz itabidi awe sub ya Mason Mount tu, hakuna namna nyingine