Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Game iliyopita waliwapiga mnachelewa kulipa kisasi
 
Kwa namna mnavocheza hii game hamshindi nasikitika tu kwenye mikeka yangu niliwadhamini
 
mna intensity nzuri ila timu haijajua kusogea na kushinda. wolves wakiweza kuachia pasi haraka hii gemu mnakufa
 
Penalti mbili za wazi za kunawa mkono na penalti nne za wazi za rafu alizochezewa Malouda, Drougba mbili na Anelka. Jumla penalti sita zimewekwa kibindoni na REFA. Mashabiki wa Chelsea walilia kama wako msibani
 
Mmepoteza two points,,, Ni nyingi Sana kwa ligi Kama epl !!!!
Not a bad day in the office [emoji23][emoji23][emoji23]

#welcome tuchel
 
kama mnajihisi hii suluhu ni fair kwenu basi shida ni kubwa zaidi
Nmeshangaa wamerelax,,,,,!!!! gap la two point epl kubwa Sana , watu wanachukua ndoo kwa goal difference sembuse point ??

Hii timu mpaka ije itulie itakua may huko na april,,,, timing ya kuingiza kocha mpya Kati Kati ya msimu sio nzuri Sana, kuzoea ligi, kupata first eleven Yake, kuweka filosofi zake Ni ngumu mno
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…