juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
Hata mimi, I feel sorry for him,Mm ni mmoja wao nilipenda sana Lampard afukuzwe ila baada ya kufukuzwa nimemuonea huruma sana. Hii ni kutokana na yale amefanya akiwa mchezaji
[emoji849]hawez big game! big NO. aliifunga bayern kipind akiwa mainz 04 ndo alipopatia jina ad la kufundsha tm kubwaHana mfumo maalumu,
Hawezi BIG games, Akiwa Dotmund na baadaye PSG
PSG ni uwezo binafsi ya akina Neyman, Mbape na Dimaria ndio ilimfunika
Kumbuka UEFA nafikiri mwaka jana alifungwa na academy wa Man U
Ni kocha asiyejali hata akipata matokeo mabaya
Hatakawia kugombana na wachezaji
Kwa hiyo anaweza akatufaa msimu huu tu kugombea top 4 ila msimu ujao kiberiti chake kitakuwa kimeshajaa
Chelsea haturembagi, aliyeoa mshabiki mvumilivu kama wewe wa Arse8 kalamba karata dume"A"chelsea hamna vifua kabisa mmemtimua super frank ,dah
Kuanza upya/0 ktk maisha si ushamba bali kukumbatia furushi la mavi na misumari kinafki linalokuchafua kwa maumivu ni dhambi isiyosameheka milele.Uchebe atawafaa kuendeleza pale super Frankie alipoishia ?
Si kweli ndugu zangu ?
Mpaka aje kocha mpya aweke falsafa zake, apate first 11 Yake ,,,Ni March na april huko ,,,, mtapoteana mpaka muombe poo [emoji1787][emoji1787]
Mchukue wewe na Arse8 wako akaikochi timu yenu ya wavumilivu, mechi 3 zilishapita nikiwa siangalii kabisa Chelsea fc ikicheza, Asante Mungu/Yawe kwa kuiwezesha bodi kumfukuza H.Coach Lampard.chelsea hamna vifua kabisa mmefanya mapema sana ,mm naamini lamps angefanya vzr tu mbeleni...
Bado tutafukuza tu hata wewe ukija na Ole Sendeka wako tutafanya hivyo hivyo, kafukuzwa Special One/J Mourinho ije kuwa Tuchel?Thomas tuchel ni Kocha mwenye uwezo mdogo na mbinu ndogo jiulizeni kafundisha PSG na wachezaji waviwango vya dunia di Maria mbappe Neymar icardi verrati lkn hovyo jiulizeni anakuja Chelsea kumfundisha Abraham [emoji23][emoji23] karavati kepa Mendy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa Nabii TitoKinywaji kile kile tofauti chupa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaaa...like father like son, jinsi ilivyo timu Chelsea kiuhalisia ndivyo jinsi Mashabiki zake tulivyo, tukitingishwa kidogo tu hata mechi hatuangalii ila tukianza mbwembwe za ushindi kama Man U tena tunajaa tele hapaHii sasa ndiyo chelsea ninayoijua. Ni kufukuza tu ili kuhakikisha hawakimbiwi na maplastiki yao.
Philosophy ya Bodi ya Chelsea ni makombe wala si kumpata Lampard anayejulikana au asiyejulikana.Tuchel ni Lampard asiyejulikana..[emoji23][emoji23][emoji23]
Sometimes bahati huwa inamata ktk maisha, huyo Klopp wenu hakushindwa kunyanyua ndoo ya UEFA alipokuwa BD fainali dhidi ya B.Munich? Acha Tuchel ajaribu nyota yake huwezijua labda nyota ikang'aa kama ilivyokuwa kwa Kocha V.A Boas 2012 akiwa kocha msaidizi wa Chelsea FC.Klopp ana Champion League na Club World Cup kuwa na Heshima na Klopp usimfananishe na Mpuuzi aliyeshindwa Champion League akiwa na Mbappe, Neymar, Di Maria na Veratti.
Sasa subiri akapambane CL akiwa na Abraham na Joginho.
Hata waropokaji na manabii uchwara siku hizi mnatetewa haki zenu na mashirika ya "haki sawa" so endelea kujipongeza kwa haki zako Chifu.Tuchel ameishindwa psg yenye kila kitu ataiweza Chelsea ???
League 1 Ni sawa na championship tu pale England ,,,, !!!
Time will tell , Hana jipya huyu mjerumani
Umeongea kwa uchungu sana mkuu,,, anyway muda utasema!!! Hired to be fired!!!Hata waropokaji na manabii uchwara siku hizi mnatetewa haki zenu na mashirika ya "haki sawa" so endelea kujipongeza kwa haki zako Chifu.
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Usiwaze maana timu yetu huwa haibabaiki kwa kumuangalia mtu usoni zaidi ya mafanikio ya makombe tu, tuombe uzima hata kama hafai bado tutamfukuza tu na kumleta Kocha mwingine hadi kitapoeleweka."IN FRANK WE TRUST - Then. Now. Forever." Hiyo ni banner mpya iliyowekwa pale Darajani na kuonekana katika mchezo dhidi ya Luton. Watu mbalimbali wanaamini kuwa Lampard hakupaswa kufukuzwa mapema namna hii, ata boss mwenyewe kasema ulikuwa ni uamuzi mgumu mno.
Binafsi nilipenda sana hili jambo litokee, unajua baada ya kupata taarifa hizi sikuamini kabisa toka kwa mtu alie niambia. Ila baada ya kudhibitisha kuwa ni kweli ghafla nilimuonea huruma Lampard hii huenda ni kutokana na u legend wake.
Naam ni dhahiri kuwa Lampard ilipaswa afukuzwe, ila kitendo cha kumleta Thomas Tuchel kuchukua nafasi ya Lampard ni kuonyesha kuwa Chelsea wanakurupuka sana. Niseme hapa hapa mapema kabisa ili kwa baadae msije mkasema Chelsea ina plastiki fans, huyu Tuchel HAFAI kuifundisha Chelsea. Hakuna kocha mle ni utopolo kabisa.
Kocha anaetufaa kwa soka la sasa ni Julian Nagelsmann, huyu Nagelsmann ni kocha sahihi hasa kwa soka la kileo. Japo kuna taarifa kuwa hapatikani kwa sasa mpaka mwishoni mwa msimu huu, kama hizo taarifa ni kweli basi Lampard asingefukuzwa mpka mwisho wa msimu kicha akachukuliwa Nagelsmann. Real Madrid nao naona wanamtaka huyo kocha.
Ila hapa kwa Tuchel hakuna kitu kabisa
Kweli mkuuu hsta Tuchel anaweza ondoka tuUsiwaze maana timu yetu huwa haibabaiki kwa kumuangalia mtu usoni zaidi ya mafanikio ya makombe tu, tuombe uzima hata kama hafai bado tutamfukuza tu na kumleta Kocha mwingine hadi kitapoeleweka.
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Mkuu Tuchel ndo uhakika Kwa sasa hizo habari za caretaker ziondoe Tu😀Huyu ndio kocha bana, atafutwe kocha wa muda apewe kazi ya ucare taker mpaka mwisho wa msimu ndio tushushe hichi kifaaView attachment 1686343