Wazee wa lawama hao. Kocha kapanga timu nzuri tumezidiwa mbinu za kimchezo katikati ya kipindi cha kwanza. Na wenzetu wamefanya conversation ya mistakes into goals.Acheni visingizio kwahyo Giroud na Abraham ni wazur kuliko Ziyech na Werner??
Nilisema mkicheza 4 3 3 mnapasukaMatatizo ya timu yangu ni zaidi ya Lampard. Wachezaji hawana morali, confidence, hawajitumi kabisa. Full mauzembe.
Sisi majirani tunasema tuna IMANI NA LAMPARD......mpeni muda tupate kutamba mtaani.Itabidi management ya Chelsea ichukue maamuzi magumu kwa siku ya leo baada ya mechi kuisha. Lampard atolewe mapema sana akajipange.
Kabla ya mambo hayajawa mabaya panga ipite kwake haraka kwa faida ya timu.
Kuanzia kesho Lampard siyo kocha wa Chelsea. Timu haioneshi jitihada ya kutumia makosa ya timu pinzani kupata matokeo...ni ujinga.
Nafikiri unamaanisha conversionWazee wa lawama hao. Kocha kapanga timu nzuri tumezidiwa mbinu za kimchezo katikati ya kipindi cha kwanza. Na wenzetu wamefanya conversation ya mistakes into goals.
This didnt age wellCity wamepanga kikosi dhaifu kutokana na janga la corona Laporte, Edson, Torres, Jesus, Mendy hawapo. Hakika tutamfunga goli za kutosha.
mnaongoza ngapi mpaka sasa?City wamepanga kikosi dhaifu kutokana na janga la corona Laporte, Edson, Torres, Jesus, Mendy hawapo. Hakika tutamfunga goli za kutosha.