juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
Mendy yuko njeCity wamepanga kikosi dhaifu kutokana na janga la corona Laporte, Edson, Torres, Jesus, Mendy hawapo. Hakika tutamfunga goli za kutosha.
Kumbuka Gardiola hategemei uwezo wa wachezaji kama Lord Lampard.City wamepanga kikosi dhaifu kutokana na janga la corona Laporte, Edson, Torres, Jesus, Mendy hawapo. Hakika tutamfunga goli za kutosha.
Mentality ya timu nzima ndio itaipa Chelsea ushindi. Wakicheza agressively tutashinda ila wakicheza legelege Citizen mbovu itatufunga hakikaCity wamepanga kikosi dhaifu kutokana na janga la corona Laporte, Edson, Torres, Jesus, Mendy hawapo. Hakika tutamfunga goli za kutosha.
Coaching skills? Hapo unachemka. Lampard alifanya vizuri sana na kikosi cha kawaida sana msimu uliopita. Matatizo mawili ya LampardKikosi kizuri halafu coaching skills 0% ni sawa na bure.
#Lampard OUT
Na bado nasema na badooooo next week tunakuwa points sawaPale unapoangalia movie nzuri ya kusisimua ghafla inajeuka kuwa ya mazombie.