Nyie mnaotaka ubingwa ndio mnateseka, malengo yetu msimu huu tumalize TOP 4 na sio kuchukua ubingwa. Hata Lampard awe mbovu namna gani atamaliza top 4.
Tufungwe na Top 6 wote, Top 4 tutamaliza tuu.
EPL 20/21
1. ...............
2..................
3..................
4. Chelsea fc
Masikini ya MunguNyie mnaotaka ubingwa ndio mnateseka, malengo yetu msimu huu tumalize TOP 4 na sio kuchukua ubingwa. Hata Lampard awe mbovu namna gani atamaliza top 4.
Tufungwe na Top 6 wote, Top 4 tutamaliza tuu.
EPL 20/21
1. ...............
2..................
3..................
4. Chelsea fc
Mngetoka na nani mkuu Chelsea ndo ishaingia round ya mtoano ndo nyie mashabiki mnaobetia timu zenu zifungwe kupanda na kushuka ndo maisha ya Moira nduguKuingia top 4 yenyewe ni juhudi za wachezaji, na mungu tu alikua upande wetu. Halafu huko UEFA bora tungetoka tu twende kwa vibonde EUROPA mana UEFA tutatolewa tu, na mungu atusaidie tusitolewe kwa idadi kubwa ya magoli. hatuchelewi kuweka record mbaya.
Chelsea hakuweka gari njiani kama mpira tuliangalia na Both Tote na Manure wote waliweka Mamende njian ukweli usemwe bayanaHukuangalia mechi, na kama uliangalia basi tumepishana kwenye uelewa wa nini maana ya kupaki basi.
Sahihi kabisaTatizo lenu nililoliona jana ni intensity, hakuna kabisa. Lampard needs to work on that, mlikuwa mna Kim bila hovyo hovyo tu uwanjani
Labda unieleweshe mkuu maana ya kupak basiHukuangalia mechi, na kama uliangalia basi tumepishana kwenye uelewa wa nini maana ya kupaki basi.
Labda unieleweshe mkuu maana ya kupak basi
Hebu lete na rekodi ya nani ana trophies nyingi kati ya Arsenal na chelseaBiggest wins Chelsea vs Arsenal
Chelsea 6 Arsenal 0 Premier League match at Stamford Bridge on 22 March 2014.
Chelsea 1 Arsenal 5 First Division match at Stamford Bridge on 29 November 1930.
Usisahau pia na maneno ya Peter Drury hyo Kesho mkiwa na wolves😂😂na venye OT msimu huu ni gheto la wahuni utashangaa anapata ushindi keshoWatkinsssssss!!!....What a finish
Grealishhhhhhh!!!....What a shot that was from Jack Grealish,absolutely world classy.. Mendy has nothing to do but to pick the ball from the back of the net.
Its Villa 2 Blues Nill at the First half..
Maneno ya Peter Drury leo baadae.
Nilijua Rudiger ataingia lakini sikujua Zouma atapumzishwa. Anyway, rotation haikwepeki kwa sababu ya mechi kuwa karibu mno. Hii rotation pia itatoa mwanya wa wengine kucheza vizuri. Siungi mkono Jorginho kucheza katikati badala ya KanteXI vs aston villa
Mendy
Azplicueta christensen rudiger chilwel
Kante jorginho mount
Odoi giroud pulisic
Karibu sana hapa kwa daraja. Twende mpaka mwisho. Uzuri leo naona Lampard kajifunza baada ya kubamizwa. Kikosi kina akili!Aston Villa kwa mkopo wa muda mfupi.
Kuna kipindi nilisema Lamp lazima awe na timu mbili zote zikiwa first eleven. Rotation muhimu hasa kwa timu kubwa kama hii. Sema hizi timu mbili bado hazieleweki.Nilijua Rudiger ataingia lakini sikujua Zouma atapumzishwa. Anyway, rotation haikwepeki kwa sababu ya mechi kuwa karibu mno. Hii rotation pia itatoa mwanya wa wengine kucheza vizuri. Siungi mkono Jorginho kucheza katikati badala ya Kante
Shida ya kikosi cha leo ni nini?Lampard hakuna kocha pale.
First eleven iliyocheza na arsenal watu 6 wamepigwa mkeka. Huyu kocha matterko hajisomi