Unaposema ni vibonde inabidi uwe narecord. Haya leta record ni mechi ngapi zimechezwa baina yao na yupi kashinda/kapoteza mechi nyingi?Tukana unavyotaka ila mimi Castr ninasema Arsenal ana vibonde viwili man u na chelsea.
Hilo nimelisema hata kabla hatujacheza na everton. Usifikiri ni kwaajili ya ushindi
Hongereni. Kocha katuuza. Hii mechi haiku ngumu hivi.Urudi tu
Mpira furaha. Kubali matokeo yaishe. Kocha kauza temu leo.Kwani nimechanganyikiwa kidogo?
Wakimbizi mmerudi?Pigaaa Mbuzi mawe 😂😂😂
Mtetezi mkuu wa Tammy utopolo, Tammy + Lampard OUT, watetee tena kwa uchafu uliofanyika leo dhidi ya Arse8Tusiende mbali, Drogba mwaka wake wa kwanza na wa pili Chelsea alikuwa akifunga magoli lakini ana makosa debe tena ya kuudhi. Baada ya kuzoea ligi ndio alikuja kutrulia. Nakumbuka tena Drogba alikuwa hawezi kufunga kwa miguu alikuwa akifunga kwa vichwa zaidi ila baada ya kuzoea ligi kwenye mwaka wake wa pili au wa tatu alikuwa kuwa hot cake akifunga kwa miguu na vichwa. Bado naamini Abraham akizoea EPL anaweza asiwe kama Drogba lakini atakuwa akifun ga magoli 20+ kwenye msimu mmoja EPL tu
Jorginho atuambie pale golini aliona nini 😁Hadi penalty yanakosa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]
Mount kacheza vizor, Kante kakaba vizor. Kovacic hakuwa kwenye form. Alipaswa kupumzishwa Leo. Chilwell amejitahidi sana. James hakuwa fiti.Haya maneno yalikuwa wapi mda wote ya alonso
Kitu cha kujua hkuna mchezaji anaeweza cheza game zote kwa kiwango kile kile
Chilwel leo hajacheza vizur same to reece james wameshindwa kuendana na kasi ya kina martinel/bellerin na saka
Kiungo cha kante,kova na mount kilipotena leo
Baada ya Waingereza kumzingua Abramovich naona ni kama ameisusa team. Roman ninayemjua Mimi Angekuwa keshamtimua Lampard muda mrefu. Hana uwezo wa kufundisha team kubwa kama Chelsea unampaje coach team kama Chelsea hajawahi hata kufundisha team ya Premier league? ILA Kwenye swala la Joginho kupiga penalty namtetea Lampard kwa Wachezaji wote waliopo Chelsea Yeye ndo mwenye record nzuri ya kufunga penalty kuliko mchezaji yeyote.Hongereni. Kocha katuuza. Hii mechi haiku ngumu hivi.
James hakpaswa kucheza. Hayuko fiti bado.
Giroud alipaswa kuanza. Tammy kakosa magoli menig kama kawaida yake
Kovacic alipaswa kupumzika kabla ya nusu ya mchezo
Jorginho siyo mpiga penati. Kocha anamwonea tu. Awapo Mount au Werner
Alamsiki!
HahahahahahahahahaBora nirudi jukwaa la mahusiano tuu