Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
OK, ngoja dk 90 ziishe kwanza. Chelsea walishawahi kushinda mechi na Crystal palace ambayo kama nakumbuka vizuri walikuwa na ball possession 25 or less pct. Yaani walishinda goli 3 ingawa walihenyeshwa dk zote 90. Tatizo ni kuwa Crystal palace walishindwa kutumia makosa ya Chelsea ilhali Chelsea ilitumia makosa machache sana kushinda kwa kishindo.Hahaha najua mpira haupo ivyo ila huna team ya kumtoa atltco madrid inaongoza lig kwao huk na imepoteza mchezo mmoja kama sikosei ko wapo strong sana.
Ah nimekumbuka mbali sana. Enzi za Goudjohansen. Timu ya Wafaransa na Waafrika enzi zile...[emoji460]️ Youngest players to score 20 PL goals for Chelsea:
23 years & 32 days Eden Hazard
23 years & 80 days TAMMY ABRAHAM
23 years & 127 days Eidur Gudjohnsen
Nashukuru sana mkuu[emoji120] [emoji1753]We mkuu huwa unaongeaga kiutu uzima na point kabisa. Mashabiki wote wa Chelsea tungekuwa kama wewe jukwaa lingetulia sana
Nyundo iliishia kwenye Tanuru ikayeyuka. Subiri uone washika bunduki wakijilipua wenywewe
Wewe ni mtabiri mzuri sana.
Mkuu hyo utakuwa unaizungumzia game yetu ya mwanzo kabisa na vs Brighton nafikiri .....Chelsea alishinda 3-1 mpira haukuvutia lkn tukapata matokeo km unavyosema...coz game ya crystal msimu huu tuliwafunga goli 4 na tuliwashika kweli kweli kina zaha...au labda km unamaanisha msimu mwingine na sio huuOK, ngoja dk 90 ziishe kwanza. Chelsea walishawahi kushinda mechi na Crystal palace ambayo kama nakumbuka vizuri walikuwa na ball possession 25 or less pct. Yaani walishinda goli 3 ingawa walihenyeshwa dk zote 90. Tatizo ni kuwa Crystal palace walishindwa kutumia makosa ya Chelsea ilhali Chelsea ilitumia makosa machache sana kushinda kwa kishindo.
Huo ndio mpira. Kwa hiyo ukiacha hizi mbwembwe na tambo za nje ya uwanja, dk 90 ndiyo haswa hutupa majibu!
Na uhakika Leicester hatatuangusha hyo jmoc....kule mbele babu vardy...afu kati ndidi...Sisi arsenal lazima tumfunge Chelsea hiyo derby .mungu ni wetu sote
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ngozi nyeusi zilitamalaki darajani. Moja ya sababu iliyofanya nikaongeza mahaba na ChelseaAh nimekumbuka mbali sana. Enzi za Goudjohansen. Timu ya Wafaransa na Waafrika enzi zile...
Kama ndugu yake Romario alivyokuwa!Wine inazeeka na utamu wake.View attachment 1656958
Hii sio ya juzi, ni miaka kadhaa nyuma huko. Chelsea walielemewa kabisa nikajua leo mvua. Mpira unaisha na ushindi. Mpira sio kabisa wakati mwingine.Mkuu hyo utakuwa unaizungumzia game yetu ya mwanzo kabisa na vs Brighton nafikiri .....Chelsea alishinda 3-1 mpira haukuvutia lkn tukapata matokeo km unavyosema...coz game ya crystal msimu huu tuliwafunga goli 4 na tuliwashika kweli kweli kina zaha...au labda km unamaanisha msimu mwingine na sio huu
Wanaomkataa Abraham wana mawenge, Abraham ni Bonge la mchezaji anae faa kucheza Chelsea.
Mpira wa miguu hauna heshima kabisa, timu mbovu kabisa inaweza ikashinda lakini sio kuchukua kombe la ligiHii sio ya juzi, ni miaka kadhaa nyuma huko. Chelsea walielemewa kabisa nikajua leo mvua. Mpira unaisha na ushindi. Mpira sio kabisa wakati mwingine.
Umeisahau Chelsea ya akina Drogba. Waliitoa Bayern unexpectedly na wakabeba ndooMpira wa miguu hauna heshima kabisa, timu mbovu kabisa inaweza ikashinda lakini sio kuchukua kombe la ligi